Hebu njoo pm mm mbona nachukulia poa tu ila huyo alie kuwa rafiki yangu daima atakuwa adui yangu nakumbuka nilikuwa napata story toka zaman jamaa anavisia kwako ila mm nilikuwa namuamini mshikaji wangu kumbe ni simba leo utasemaje asiwe adui yangu na leo kadhihirisha kuwa rafiki yangu ndo chanzo cha mm na ww kutengana njoo pm kwanza tuzungumze ikibidi turudiane alafu uone muhusika ulie nae km atajisikia vyema
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.