Mapenzi huanza kama siku inavyoanza yaan asubuh,mchana na hatmaye jion mpaka usiku. Penzi linapoanza huwa kama asubuh unavyoipokea lakn weng wetu tunafeli jua linapoanza kuwa kali yaan mchana tunashindwa kuhimil ukal wa jua na kutufanya tusahau kuwa jion yaja na ukal wa jua hautakuwepo tena...
loveissweet
Its true dear .. Now relationships nyingi zinafeli kwa sababu tofauti, tofauti but kwa uchunguzi wangu relationship nyingi zinafeli kutokana na Siri, Uongo, Tamaa ( hii nimeiona kwa macho yangu wanawake sisi zaidi, ingawaje men WA namna hii pia wapo na nimewashuhudia pia kwa macho yangu).. Binafsi I take relationship as covenant ambayo if I don't stay still with the a covenant I have made with him / her it will make me suffer for the rest of my life .. Honest , commitment and Loyalty are everything to me .Nitavunja covenant hiyo iwapo kama mwenzangu atakuwa ameenda kinyume na maagano yetu , and this will take so long to do it na nikifanya hivi huwa siangalii nyuma.. Sasa basi watu wengi tunasahau that unapoingia kwa mahusiano will not be always easy in everything, for the rest of our lives because we are humans being.. Flesh is in us.. Just like Spirit too .. But if we could just focus on Spirit disappointments zisingekuwepo kabisa, because Spirit is God, and there is the light in Spirit .. And there is the darkness in Flesh ... It takes a Spirit to recognized and alert us the time we are facing during the season that we are inn... Kwa Bible inasema in everything there is the a season .. So even our own God knew / knows about this kwa kila tupitiacho kuna season hivyo hakuna permanent trials or seasons ( only kwa wale WA True love, ndio wata last but kwa wale WA materials nop ) .... So we have to have a discernment heart and be sensitive in Spirit to be able to handle things in every season.. Now kwenye Mapenzi na mahusiano I think in the beginning yanakuwa Hot in fire because of the excitement ya kila mmoja kuwa na hamu ya kummjua mwenzie na kuaamini Yale aliyoaambiwa.... In the beggining there was a word and in the word there is God... Hapa Nina apply the same kwa mahusiano pia .. Why? Because kila kitu kinachotoka kinywani ni neno zito lenye maana why because there is Spirit inside of us so kila tunachokisema hata kama we didn't mean it but it means to our God, that's why we are accountable one every word we say... Na ndio maana ni vyema kusema ukweli mwanzoni maana Leo tuko wengi tumejifunga kwa maneno yetu wenyewe tuliyatammka years ago halafu tukasahau au covenant tuliyoiweka na watu halafu hatuku zitimiza.... I hope so far umenipata bila kukupoteza.. So kwenye mahusiano mengi mwanzoni huwa tunaambiana words nyingi ukweli ukiwemo na uongo ukiwemo ndio maana love is in fire... Sasa basi ile baadae uongo unapokuja kugundulika ndio shida inapoanza sasa na kuanza Ku investigate zaidi.. Kama mkiwa wawili ,kati ya mmoja wapo akawa na busara kwa kumuuliza mwenzie what's going on ( before na yeye kwenda kufanya yake maovu ) mbona ulivyosema vingine vilikuwa sivyo.. Na mkajadiliana kwa upana ( mmmhh hapa mnaweza kumwagana kirahisi kama wisdom haitotumika... ). Na kama ikitokea hii Neema ya mwenzio kukuuliza na kutaka kuongea na wewe , please be Honest , maana ukidanganya tena kwa kweli haitakuwa nice kabisaaa.... Safari ya mahusiano inapoendelea kukiwa na Mungu ndani ya hayo mahusiano pamoja Truth yanaweza Ku conquer chochote ikiwemo kwa shida za uchumi.. Mahusiano ambayo yanaisha kwa bitter always yanakuwa na more hidden things behind the closets . Na most of it mmoja wao anaona hakutendewa haki na mwenzie .. ( just chunguza utagundua mengi yaliyojificha ambayo walimwengu hawayajui.. Na mengi yao yanatokana na Ukweli kufichwa , infedility , nakadhalika ).. Kwa Yale mahusiano ambayo huvunjika kwa kutokuwa na hela , hayo hayakuwa mahusiano ya True love but yalikuwa ya True materialism ndani yake.. Anayekupenda kwa dhati na kumuhofu Mungu kikweli kweli bila unafiki hakika hawezi kufanya hivyo .. Maana atakuwa akikesha kwa maombi ili Mungu awabariki kiuchumi na Ku stand by your side no matter what .. Hivyo tuwe makini sana kwenye kusema ukweli in the beggining until the end upate kuwa free ... Ingawaje ukweli unauuma but we have too to stick with it. Na pia kumuweka Mungu as foundation ya mahusiano na kila kitu .. Thanks..