Mahakamani Kisutu: Watatu mikononi mwa polisi kwa kubeba mabango ya kumkashifu Mtukufu Rais Magufuli

Hawa wajinga wapotezwe liwe fundisho.

Mjinga hajitambui kabisa...yaan wanawaiga viongozi wao,wanashindwa kukumbuka kuwa viongozi wa kisiasa wao wana kinga kisheria?

Kweli ukawa mmelogwa.
Hilo la Kinga mkuu, hata Waziri Mkuu kalizungumzia jana wakati anafunga Bunge.
 
Wana Jf wasalaam!
Jana kwenye shauri la uchochezi lilokuwa likiendelea mahakama kuu kulikuwa na wafuasi wengi wa Tundu Lissu ambao kimsingi walikuja kumuunga mkono mwenzao.

Kama wana jf mliangalia vizuri TV mtakubaliana namimi baada ya Lissu kupewa dhamana alipokuwa anaongea na waadishi wa habari walionekana baadhi ya wafuasi wake wakiwa wamebeba mabango ya jumbe mbali mbali zilizo kuwa zikimkashifu Rais!

Lakini chakufurahisha jeshi la polisi liliamua kuchukua hatua pale pale kwa kuwakamata baadhi ya wabeba mabango yale na ni wazi wafuasi wale waliandaliwa na baadhi ya viongozi wa chadema kuandaa jumbe zile kuja nazo mahakamani!

Kwakuwa ni wazi wali lala rumande jana hivyo wana haki ya kupatiwa mawakili 11 kama alivyopewa Tundu Lissu japo walizusha kuwa ni mawakili 17 lakini record zinaonyesha alikuwa na mawakili 11!

Ni wito wangu kwa wananchi kuacha kufata mkumbo wa wanasiasa na kutokubali kutumika kama wajinga huku wanasiasa wakiendelea kudunda mtaani! Lazima wajua mchuma janga hula na wakwao!

Karibuni wana jamvi!
hawana kesi hao tatizo polisi wetu hawajui sheria,hao utawafunaga kwa kosa lipi hawajaandika jina la mtu yoyote utashangaa kesi itaishia polisi au kufutwa mahakamani siku ya kwanza we tuombe uzima utaniambia
 
hahhaahhahahaha...halafu wanasheria wao ni wepesiiiiiiii hatariiiiii
 
Hawa wajinga wapotezwe liwe fundisho.

Mjinga hajitambui kabisa...yaan wanawaiga viongozi wao,wanashindwa kukumbuka kuwa viongozi wa kisiasa wao wana kinga kisheria?

Kweli ukawa mmelogwa.
Aiseee!! Upo kitengo unakula bata nini
 
Wana Jf wasalaam!
Jana kwenye shauri la uchochezi lilokuwa likiendelea mahakama kuu kulikuwa na wafuasi wengi wa Tundu Lissu ambao kimsingi walikuja kumuunga mkono mwenzao.

Kama wana jf mliangalia vizuri TV mtakubaliana namimi baada ya Lissu kupewa dhamana alipokuwa anaongea na waadishi wa habari walionekana baadhi ya wafuasi wake wakiwa wamebeba mabango ya jumbe mbali mbali zilizo kuwa zikimkashifu Rais!

Lakini chakufurahisha jeshi la polisi liliamua kuchukua hatua pale pale kwa kuwakamata baadhi ya wabeba mabango yale na ni wazi wafuasi wale waliandaliwa na baadhi ya viongozi wa chadema kuandaa jumbe zile kuja nazo mahakamani!

Kwakuwa ni wazi wali lala rumande jana hivyo wana haki ya kupatiwa mawakili 11 kama alivyopewa Tundu Lissu japo walizusha kuwa ni mawakili 17 lakini record zinaonyesha alikuwa na mawakili 11!

Ni wito wangu kwa wananchi kuacha kufata mkumbo wa wanasiasa na kutokubali kutumika kama wajinga huku wanasiasa wakiendelea kudunda mtaani! Lazima wajua mchuma janga hula na wakwao!

Karibuni wana jamvi!

Mbona hayo makaratasi / mabango hayana jina na Rais wa JMT. Ngoja mahakaka itajulishwa bila shaka lolote kuwa anyesemwa ni yeye.
 
Wana Jf wasalaam!
Jana kwenye shauri la uchochezi lilokuwa likiendelea mahakama kuu kulikuwa na wafuasi wengi wa Tundu Lissu ambao kimsingi walikuja kumuunga mkono mwenzao.

Kama wana jf mliangalia vizuri TV mtakubaliana namimi baada ya Lissu kupewa dhamana alipokuwa anaongea na waadishi wa habari walionekana baadhi ya wafuasi wake wakiwa wamebeba mabango ya jumbe mbali mbali zilizo kuwa zikimkashifu Rais!

Lakini chakufurahisha jeshi la polisi liliamua kuchukua hatua pale pale kwa kuwakamata baadhi ya wabeba mabango yale na ni wazi wafuasi wale waliandaliwa na baadhi ya viongozi wa chadema kuandaa jumbe zile kuja nazo mahakamani!

Kwakuwa ni wazi wali lala rumande jana hivyo wana haki ya kupatiwa mawakili 11 kama alivyopewa Tundu Lissu japo walizusha kuwa ni mawakili 17 lakini record zinaonyesha alikuwa na mawakili 11!

Ni wito wangu kwa wananchi kuacha kufata mkumbo wa wanasiasa na kutokubali kutumika kama wajinga huku wanasiasa wakiendelea kudunda mtaani! Lazima wajua mchuma janga hula na wakwao!

Karibuni wana jamvi!
Mhaya wa wapi wewe, wahaya sio waoga!
 
View attachment 361548
Jana wafuasi wa UKAWA walitiwa mbaroni baada ya kutoke mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakiwa wamebeba mabango yenye ujumbe wa kumkashifu Mtukufu Mkuu sana, Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Joseph Magufuli.

Baadhi ya Mabango yalikuwa yanasomeka...
  • Dikteta uchwara utashindwa
  • Dikteta uchwara nenda Burundi
Maoni Yangu;
Kuna msemo usemao Volenti non fit injuria wakimaanisha la kujitakia halina majuto. Hawa wafuasi naona wamejitakia au wametumwa na viongozi wao uchwara kubeba mabango ya kashfa kwa Rais. Mbowe alikuwepo mahakamani, kwanini yeye hakubeba bango la kashfa? Kwanini awatumie wafuasi wachache wasiojielewa?

Hivi nalo hili mtalalamika kuonewa?
Kwanini hamuheshimu Taasisi ya Urais?
Kwanini hamuheshimu Rais?

Mnataka nini hasa wana wa upinzani?
Kisheria hawana kosa hao.... Utamshtaki kwa kosa lipo hapo?
Hajamtaja rais wala mtu yoyote.. Wameandika tu diktera uchwara" ni kosa?
 
Hivi mbona hakuna bango lililotaja Rais? Hao polisi ndio wanamtukana Rais kwa kutafsiri "Dikteta uchwara utashindwa" kuwa anaambiwa Rais.
Ina maana wao wanadhibitisha kuwa ndio yeye
 
Hakuna kesi hapo, kwani wamemtaja mtu, wewe ndiyo unataka kumkashifu mheshimiwa sana
 
Back
Top Bottom