Mahakama yatupa ombi la CHADEMA dhidi Polisi Kuzuia Mikutano ya Kisiasa

Democracy hupatikana kwa hoja, utulivu, majadiliano, na si vurugu. Chagadema mtasubiri sana. Kama Lowassa alivyowaambia muache harakati, kiwe chama cha siasa, big up Lowassa
Haki haidaiwi kwa upole, amani bila haki ni kazi bure.
 
Inakuwake CDM yenye wanasheria mahiri wamapeleka shauri lisilofuata sheria?
Ni jambo la kawaida, kumbuka hii inaweza kuwa kesi ya kwanza ya aina hiyo. Marekebisho yatafanywa ña shauri litafunguliwa upya. Hapa kisheria notes za mafunzo zinaongezeka
 
Ni vyema kama HUJUI SHERIA ukauliza!
Kesi bado IPO HAI,wamekosea tu jinsi ya kuifungua hiyo kesi!Kwa vile amri ya kuzuia mikutano ya kisiasa ni Tanzania NZIMA, si sahihi kumuweka OCD wa Maswa kwenye hati ya mshtaka,hapo kwenye HATI inabidi awepo Mkuu wa Opereheni wa Polisi Tanzania!

Hati ikifanyiwa marekebisho kesi inaendelea!!
 
Uskute waendesha mashtaka waliowasilisha pingamiz la kutupiliwa mbali kwa kesi hiyo kutokana na mapungufu ni hawa ambao kila siku tunawahuburi kama form 4 failure hapa jf dhidi ya wenye bachelor na masters ya sheria. Kweli sheria haina gwiji hapa bongo zaid ya Andrew Chenge yaani
 
Toka lini mtoto wa kufikia akasikilizwa na mama wa kambo? Kwa kweli demokrasia ya Tanzania inahitaji huruma ya Mungu.
 
Ni vyema kama HUJUI SHERIA ukauliza!
Kesi bado IPO HAI,wamekosea tu jinsi ya kuifungua hiyo kesi!Kwa vile amri ya kuzuia mikutano ya kisiasa ni Tanzania NZIMA, si sahihi kumuweka OCD wa Maswa kwenye hati ya mshtaka,hapo kwenye HATI inabidi awepo Mkuu wa Opereheni wa Polisi Tanzania!

Hati ikifanyiwa marekebisho kesi inaendelea!!

Sasa wew si uko apo ufipa si uwaambie cha kufanya walau unawza na wew lamba hako karuzuku,
 
Njia ya kuelekea katika demokrasia ni nyembamba sana yenye miba na matope mengi.
 
Utasikia majaji wanatumika na ccm. CHADEMA yetu tunaipenda lakini kwa sasa inaendeshwa kiharakati, it's no more longer original as it used to be. Kazi yake sasa ni kutafuta tu mabifu na vyombo vya dola ilhali walitakiwa watumie vyombo vya dola kama daraja la mafanikio
We huijui Chadema, kama ni bifu na dola au uana harakati sasa ndo umepungua sanaa
 
Kwa hiyo wale wana-CCM wa Mwanza tulivyowaambia watulie sasa si mnaona jinsi shughuli za kimahakama vinavoenda mlitaka kusababisha vurugu za bure. Nina hakika wanasheria nguli wa CHADEMA wataweka mambo sawa na kesi kuendelea.

Ila marekebisho ya hati ya kufungua kesi Mahakam Kuu yakikamilika na kesi kuanza kusikilizwa iwe Mwanza au sehemu nyingine CCM mtulie.
 
sisi tumetulia tunasubiri mkosee vifungu vya sheria kwa mara ya tatu,tujue kweli mnacheza makidamakida kwenye sheria mnayojifanya mnaijua...
 
ACT soon tunafungua kesi nyingine Dar.....hakuna kuwapa pumzi hawa makaburu wa demokrasia
 
Back
Top Bottom