Miaghay
JF-Expert Member
- Jun 9, 2011
- 1,535
- 489
ha ha ha,ndugai hakupiga,alikua anaadabisha,Ndugai alimpiga mtu kwa gongo hiyo sheria haikuwa na mkondo bado.
sasa huyu jacobo nasikia alimla vichwa mwandishi wa habari.
ha ha ha,ndugai hakupiga,alikua anaadabisha,Ndugai alimpiga mtu kwa gongo hiyo sheria haikuwa na mkondo bado.
Kichwa hakiwezi kupiga, ni sawasawa na gari haiwezi kugonga kwa kutumia ubavu wake wala nyuma ispokuwa mbele tu.ha ha ha,ndugai hakupiga,alikua anaadabisha,
sasa huyu jacobo nasikia alimla vichwa mwandishi wa habari.
Laini kwa sasa ndie muheshimiwa, kwa viongozi aina hii acheni magufuli ajute kuwa rais.Dhamira ya ndugai ilikuwa kuteketeza .
Mambo mengine ccm wanatakiwa waone aibu, hii ni aibu kwa chama kikongwe nchini
Nadhani wewe ndio uone aibu kusema upuuzi huuMambo mengine ccm wanatakiwa waone aibu, hii ni aibu kwa chama kikongwe nchini
Umeshaanza umbea wakoNadhani wewe ndio uone aibu kusema upuuzi huu
Yaani jamaa kampiga mwandishi wa habari. Hawa chadema hawawatakii mema waandishi wa habari, Ni vyema kuwaepuka. Huyu jamaa anatakiwa afungwe kabisa ili iwe fundisho kwa wengine. Apewe kifungo kikali.
aahaah hawana tofautindugai