Mzee_Wa_Conspiracy
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 667
- 352
African Barrick ni kampuni mama wa AcaciaAfrican Barrick ndio Acacia?
African Barrick ni kampuni mama wa AcaciaAfrican Barrick ndio Acacia?
Kuuliza sio ujinga....hiyo notification wewe unayo?Huna uelewa wowote kuhusu sheria inazosimamia makampuni.
Kuna tofauti kati ya kampuni mpya na kampuni kubadili jina. Barrick African Gold ilisajiliwa BRELA, baadaye ilibadilisha jina. Kubadili jina kunahitaji notification tu kwa mamlaka husika na siyo kujisajili upya.
Mimi ninafanya kazi kwenye kampuni iliyobadili jina, baada ya kubadili jina, hatukusajiliwa upya BRELA. Mkanganyiko wa ACACIA huko BREKA huenda unatokana na ugeni wa maafisa wake.
Tusiwe wepesi wa kuamini kuwa maadfisa wote wa BRELA, TRA, DSE, mabenki, Wizara ya Madini, n.k. wote hao wawe wajinga wa kutojua umuhimu wa kampuni kusajiliwa nchini. Hivi kweli wote walikuwa wajinga kiasi hicho ila hawa wajumbe wa kamati walioteuliwa mwezi uliopita ndiyo wawe wajuzi wa kila jambo?
Kwa sasa kila anayehoji anaonekana mjinga, siyo mzalendo, msaliti, na aliyehongwa. Kwa hiyo twende vitani tukiwa vipofu na bubu?
Jambo la muhimu pekee kubwa alilolisema Rais leo ni kutaka kuongea na Acacia ili kuona kama kuna maeneo yanaweza kufanyiwa marekebisho kwa njia ya maelewano.
North pole ni sheeeda!Wachaga mnashida gan nyie, mnapinga kila kitu anachofanya magufur kisa hatok kaskazn
Lakin mpaka mtanyoka
Nyumbu ni nyumbu tu na akili zao ni hivyohivyo tu kufuata mkumbo tuKuna swali najiuliza hivi kwanini vijana wa vyama vvya upinzani wanatetea ACACIA? Ni kufuata Mkumbo wa Tundu Lisu? Ni njia tu ya kumpinga Rais? (Hata kwenye masuala ya msingi), vyama vyao vimekuwa vikipata msaada au motisha kutoka ACACIA? au ni nini hasa?
Kweli kuna baadhi ya watanzania ni wagumu kuelewa na hawata elewa mpaka siku ya kiyamaSoma uelewa sio kika kitu unaleta siasa, mtu kauliza swali na kaweka na document kutoka TRA wewe unakimbilia kuhusisha vyama
Mbona Kenya hawana madini wanamagadi tuAcacia Mining (formerly African Barrick Gold plc) is a gold mining business operating in Tanzania, with exploration properties in Kenya, Burkina Faso and Mali.
Hakika ndiyo maana hata darasani kuna Wa kwanza na mwisho, kwa hiyo wewe unataka kutuambia kwamba kuna ACACIA mbili?Tulia wewe utakwenda na upepo.
ACACIA ya kusafirisha mchanga nje ni kampuni tofauti kabisa na ACACIA ya kuchimba madini.
Huu ndio ujanja wao.
Wachaga mnashida gan nyie, mnapinga kila kitu anachofanya magufur kisa hatok kaskazn
Lakin mpaka mtanyoka
Na wewe kama ungekuwa hata na akili ya kutofautisha usiku na mchana basi ungejadili content ya topic hii na sio generalizations ya yaliyotokea leo.Kweli kuna baadhi ya watanzania ni wagumu kuelewa na hawata elewa mpaka siku ya kiyama
Kama ungekuwa na afya nzuri ya akili ungemuelewa Magufuli ilipokuwa anafanya mukhtasari wa ripoti yeye aliingiza mpaka benki kuu ktk sakata hili sasa wewe uleta upuuzi wa TRA na MAHAKAMA(wanasheria)wakati wawo ndio wapishi wenyewe
AnyongweWewe ni kilaza kweli aliyesajiliwa na brela hapo ni barrick acacia kaibuka kuanzia 2014.....Kwa nini utafute data mahakamani badala ya brela??
Msaliti mkubwa we...
Kamati aikudadavua lakini wanamaanishaHuwez lpa kod km hujasajliwa,cku zote TRA wanachukua kodi kwa accacia,leo haijasajliwa,mmmm!!bongo ni atar kwa comedy
Kweli mkuu lusungo! TIME WILL TELLMuda ndio hakimu wa yote.
Walioisaliti hii nchi mnawajua sana...Wewe ni kilaza kweli aliyesajiliwa na brela hapo ni barrick acacia kaibuka kuanzia 2014.....Kwa nini utafute data mahakamani badala ya brela??
Msaliti mkubwa we...
“Utakuta mtu anajidai anajua, mimi namwangalia tu kwa sababu wakati mwingine hajai kwenye kiganja changu.” — Andrew Chenge, mnyamaa
Mapovu hayatakusaidia chochote , mnawezaje kuidai kodi kampuni ambayo haipo ? mtaisoma namba kudadeki !Wewe ni kilaza kweli aliyesajiliwa na brela hapo ni barrick acacia kaibuka kuanzia 2014.....Kwa nini utafute data mahakamani badala ya brela??
Msaliti mkubwa we...
Ha! Ha! Ha![HASHTAG]#RipotiYaKwanza[/HASHTAG]
Lissu: Tusihangaike na udongo, tuhangaike na mikataba na sheria mbovu za madini zilizotufikisha hapa. Tuangalie tulipojikwaa, tusiangalie tulipoangukia.
CCM: Lissu analinda wezi. Mikataba na sheria za madini hazina shida. Shida ipo kwenye udongo wenye makinikia. Tumeibiwa sana kwenye udongo. Hatukubali.
[HASHTAG]#RipotiYaPili[/HASHTAG]
JPM: Tumelogwa na nani? Watanzania tumeibiwa sana. Naagiza mikataba yote na sheria zote za madini zipitiwe upya.
CCM: Rais wetu mzalendo. Amefanya kazi kubwa sana. Tumuombee.!!
[HASHTAG]#MyTake[/HASHTAG]:
Lugha ileile aliyoongea Lissu akaambiwa amehongwa, ndiyo aliyoongea JPM leo akaitwa mzalendo. Akili za CCM kama kifurushi cha jaza ujazwe .!