M Mangi flani hivi JF-Expert Member Jan 2, 2016 2,026 3,104 Jul 10, 2016 #1 Nimeangalia tangazo EATV anaonekana Salama Jabri akiadvertise kitu flani anaishia kwa kusema: MAGUMU KULIKO, EATV JULY 2016. Mwenye uelewa wa anazungumzia nini tafwadhali nijuze.
Nimeangalia tangazo EATV anaonekana Salama Jabri akiadvertise kitu flani anaishia kwa kusema: MAGUMU KULIKO, EATV JULY 2016. Mwenye uelewa wa anazungumzia nini tafwadhali nijuze.
M Mangi flani hivi JF-Expert Member Jan 2, 2016 2,026 3,104 Jul 11, 2016 Thread starter #3 chigulubedu said: 192 views Click to expand... Watu wanaview, wanakula kona.
Mapensho star JF-Expert Member Jun 30, 2016 3,052 4,101 Jul 11, 2016 #4 labda nikupatie namba umuulize mwenyew