Magufuli na Makonda watawaweza 'watoto wa mjini'?

Sasa hapo Nani Mjanja? Ulizia Kizazi cha kina Sykes na Kambarage kipi kipo hoi bin Taaban?

Waliobahatika kutokuwa Vichaa wapo kwao Butiama
Wakat Familia za kina Dosa na Sykes bado zinakula Bata town

Mwingine Jk alimsaidia Kumteua Mkewe kuwa Jaji ili tu Jamaa asidhalilike Mjini
Sasa kama ni hivyo malalamiko yasiyo na kikomo ya kina Mohammed Said ya nini ?
 
Kwani Bashite alikuja lini mjini?manake hawa wakina Ruge and co.wako siku nyingi mjini.wamehustle mpaka leo wanaitwa mabosi.wanasema mjini njoo na akili wala sio miguvu.ndo unawaona wakina manji wako kila mahali hata ukiwafilisi umefilisi asilimia 10 tu nyingi ziko mafichoni.watu walokuja mjini siku nyingi ni wa kuwaheshimu tu.ukishindana nao utaumia mwenyewe!
 
Makonda anashobokea sana pesa za mabalionea wa kiarabu hadi anawa-blackmail wampe mapesa na magari kupitia jina la rais Magufuli na kuwatisha kuwabambikia issue ya madawa ya kulevya.

Leo watoto wa mjini wamemdaka kwenye 18
57a8549541404417340b5f7d801a5cf6.jpg
Hivi unatoka Misungwi kuja kusingizia watu wa mjini kweli ? Ningeshangaa sana !
 
Hilo mbona liko wazi, lkn kuna kitu kinaitwa Taasisi ya Uraisi hiyo ndiyo kila kitu, raisi wa Tanzania ana nguvu sana na hakuna wa kumshinda, kuna mtu alikuwa na nguvu kama Dau (NSSF)? Leo hayupo nchini yuko mbaali Malaysia huko!
Lakini Dau mtoto wa mjini yule na ndio maana hajatolewa kama akina Kitwanga au wale jamaa wa bandari na Nida.
 
Boss umetuachia taswira ya Hali halisi ya ki nachoendelea Ila nakusahihisha kuwa hii vita atakayeshinda ni amiri jeshi mkuu wa JMT RAIS JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI. HILI HALINA UBISH. MAGUFULI HAFANYI KUFINYA ANAUMA TOTALLY.. HUKU MADAWA HUKU KODI HUKU ULIPE DENI TANESCO HUKU UKAZIWE BUREAU DE CHANGE. YAANI UKIJIKUTA KWENYE ANGA ZAKE UMEISHA MAKOSA YAKO YOTE UTAKAZIWA.. MBOWE ANAJUA KILICHOMKUTA
Ndege john....ushaambiwa mtoto wa mjin huwa anakaa kimya pale unapomu attack bila akili ila ana tyming ya kukumaliza badae ndo kitakachomkuta mkubwa mfano rejea nyerere kwa hanspope haraf urud ntakueleza kwa urefu
.
.
.
Kyenekyaka mkighanile une
 
NCHI HAIWEZI KUFILISIKA KWA "KUWAKAZA" RAIA WACHACHE - IN SHORT SERIKALI INAWEZA KUUNDA MABILIONEA WAKE NDANI YA MUDA MFUPI

- Mnaita watoto wa mjini lakini mnashindwa kujua NYERERE alitoka BUTIAMA akaja kuwaingiza MJINI hao WATOTO wa MJINI, Mpaka leo kina Mohammed Said wanatapa tapa
Walikua wanamlia timing tu ... angali sasa familia ya Nyerere, halafu fananisha na familia za hao aliowapiga bao wakati huo ... ndio utajua wamjini wa mjini tu ...
 
ukitaka uwaweza watoto wa mjini, uwe ulizaliwa mjini, sio ulitoka huko machungani kwenye mang'ombe huko. hadi kiswahili kinakushinda unaongea kama unaporomosha mawe...kimombo ndio kabisaaa utafikiri unavyoongea unachapwa viboko vya kulazimishwa...unakimbia hadi wageni wa nje ya nchi wasijejua kuwa haujui kimombo.

namtakia rais kazi njema kujenga taifa.
 
Muulize Mumeo akueleze Iddi Simba alipoandika Barua ya kujiuzulu Uwaziri wa Viwanda na Biashara wakati wa Mkapa reaction ya Mkapa ilikuaje Mara ya kwanza?

Kama Hilo hakumbuki, nakukumbusha la Karibuni Comrade Abdul Rahman Omar Kinana alipoandika Barua ya Kujiuzulu Ukatibu Mkuu wa CCM Dodoma June 2016 Reaction ya JPM ilikuaje ?

Mifano ipo Mingi ya wanaotaka kuchomoka lakin Mzee hataki kujibu Barua, ku post post kwako Mara nyingi humu usijikweze kujiona unajua mengi
Kumbe!
Halafu hii ya kinana niliisikiaga nikawa najiuliza au ni uzushi!baada ya kuona kimya! Kumbe
 
Wakati wa mgogoro mkubwa wa CHADEMA hasa kati ya Zitto na Mbowe
niliwahi kuandika humu kuhusu Mbowe kuwa ni 'mtoto wa mjini'
sishangai Zitto kushindwa.
...Freema Mbowe ni Mtoto wa mjini, true hustler...



Zitto pengine alijiona msomi na mwenye akili zaidi....
Mbowe ni former Dj wa night club..tu but 'utoto wa mjini' ni kitu extra kilichomfanya
somehow licha ya kuwa na wasomi na watu wenye vipaji vya kila aina ndani ya CHADEMA
na nje ya chama but yeye ndo TOP....Mwenyekiti mwenye last say ya chama..

Sasa Magufuli na Makonda ni dhahiri wako kwenye vita na 'watoto wa mjini'
Mbowe wamemfilisi mali zake baadhi...Bilicanas wameivunja
now tunaona 'watoto wa mjini' Clouds Group sekeseke lilitokea

Tusisahau hata Magufuli anaporusha madongo kwa JK na serikali yake
anarusha madongo kwa 'Mtoto wa mjini' pekee aliefanikiwa kuwa Rais..wa Tz..

Sifa za watoto wa mjini ni
kuheshimiana.....ndo maana Mbowe na JK ni marafiki na watabaki marafiki

si ajabu kukuta Mbowe na JK ni marafiki zaidi kuliko JK na Magufuli

Sifa ingine ya watoto wa mjini ni uwezo wa kutabasam na kucheka na 'nyoka'

Hata uwaoneshe uadui kiadi gani ..watakuchekea tu kiaina...hadi wakupatie 'timing'

Sifa ingine ya watoto wa mjini..'uwezo wa ku survive hard times'

Hutasikia Mbowe akimlalamikia Magufuli kuhusu mali zake...kimya kimya atasubiri

Wapo walionyang'anywa mali na Nyerere na wakaja kupata mara 100 ya mali zao Nyerere alipoondoka na husikii wakimponda Nyerere...

Sanasana utawasikia wakimsifia 'baba wa Taifa'....

Hao ndo watoto wa mjini.....Magufuli na Makonda watapita tu kama upepo
watoto wa mjini hawajawahi 'kushindwa'...

So nilipomuona Ruge akiongea kwenye TV binafsi naamini Ruge
anajua 'visasi' vinavyoweza kumkumba but mwisho 'wata survive' tu...

Kuzaliwa mjini ni 'advantage' unique sana......ni kama nzi wanavyosema
'we ukijua hivi,wenzio wanajua vile'...
Hongera sana mkuu uzi kiwango sana huu,tatizo jogoo wa shamba akifika mjini anataka kujifaragua kuliko aliowakuta badala aulizie ustaarabu wa mjini sasa wameiga yameshawashinda soon wataanza kuishi maisha yao yakawaida
 
Hakuna Binadamu anayelazimishwa kufanya kazi, kama hataki hakuna wakumlazimisha, anaweza akapanda ndege na kurudi kesho kama akitaka, hivyo ondoa porojo hapa!
Kama hujui kaa kimya,yule jamaa pale tra keshamfata jamaa na kuomba kuachia ngazi akaulizwa Kwanini unataka kuacha akamwambia mambo magumu siwezi,jamaa nae akamwambia hata mimi mambo magumu rudi kazini kapambane.
 
Mkuu sifurahii aliyotenda Makonda, lakini amini nakuambia Clouds watafanya au wamefanya kosa kubwa kufanya ushirika na Makonda na washirika wake(nadhani umenielewa...). Ilikuwa busara baada ya kujua Makonda anapata vipi ujasiri Clouds wangenyamaza kimya wangejitenga na Makonda na pia wangejitenga na Gwajima. Mkuu Silence is gold sometimes and this was the time. Au unaiga mbinu ya matete, upepo mkali ukivuma sana yeyenyewe hayashindani na upepo wenye nguvu yenyewe yanainama chini kupisha upepo, ukishapita yanainuka wima yakiwa salama huku miti mikubwa migumu ikiwa imeanguka na kuvunjika kwasababu ya kujaribu kushindana na upepo.
 
Back
Top Bottom