Magufuli ashindana na Waziri Mkuu wa India kupiga ngoma Ikulu. Ni mbinu mpya ya kukaribisha wageni?

Magufuli kwenye kujenga urafiki hakuna anayemfikia kabisa, hapo nitampa maksi 100/100 kabisa.
Kila anayekutana naye wanaachana wamekua marafiki kabisa.
 
hivi hamnaga vitu vingine vya kufanya
maana kila siku kumjadili MR PRESIDENT kila anachofanya!!!!

judgement zisizidi mipaka
#angalienimaishayenu!!!
chaaaaaa!
 
Watu ma low income utawajua tu, saa zote kukaa na kufikiria mambo ya kipumbavu yasiyo na mbele wa nyuma, ndiyo maana mnashindwa kupiga hatua sehemu zenu za kazi kwa maana kichwani hamna kitu!
Unataka kusema hata waliofanya hayo hawana maana ??
 
Ni ngoma za kisukuma zinaitwa BUGOBOGOBO sasa hapo ikulu sijui alikuwa anaamsha mizimu ya hapo ikulu au vip? Very funny.
 
Unazifahamu imani zao Wahindu? Wanaamini mtu yeyote anayechaguliwa kuwa kiongozi wa India,anakuwa ,automatically kwa uchaguzi huo kiongozi wa dunia.
 
Yangu ni ya Standard Seven tu Mkuu ya 1992 pale O'bey Primary chini ya Marehemu Mama Ng'ambi na baada ya hapo sikusoma mpaka leo lakini naamini kwa uwezo wangu mkubwa wa akili, upeo, maarifa na fikra nawatimulia vumbi wana ukoo wako wote na Wewe ukiwemo bila kusahau na Wanachama wa Chama chako chote cha " nyumbu " unachokishabikia.
Mkuu huwa nakukubali sana basi tu , comment zako tu ni burudani tosha sana.
 
Back
Top Bottom