Magufuli arejesha Ikulu kuwa mahala PATAKATIFU

Magufuli sio mtu wa watu tofauti na JK utamaduni wa watu kuitwa Ikulu upo nchi nyingi hata Obama keshaita watu wengi waende Ikulu ila huyu Rais wetu yeye anafikiri kila wakati ni kuwa serious tuuu
 
images


JK alikuwa karibu na wasanii



Hebu tutafakari kidogo hili jambo....hivi hawa pichani wana umuhimu gani kwa taifa letu? Kiongozi wa nchi unakwenda kualika useless people like these for what reason, yaani hana kazi ya kufanya?
 
Kwan utakatifu uliondoka baada ya kualika washindi wa tuzo mbalimbali kwa ajili ya kupongezwa???
 
Kwa hiyo aliyekuwepo alikuwa na uchafu mwingi?
Palikuwa mahali pa kupigia picha na wasanii hovyo hovyo tu, dili za wahindi zilikuwa zinapigwa bila shaka nowadays hakuna kuingia ingia hovyo hovyo tena.
 
Palikuwa mahali pa kupigia picha na wasanii hovyo hovyo tu, dili za wahindi zilikuwa zinapigwa bila shaka nowadays hakuna kuingia ingia hovyo hovyo tena.
Duuuuh kama ni hivyo basi ni kweli pamekuwa mahali patakatifu
 
Hii midudu hsijui kuwa Ikulu ni state house? So kwahiyo kwa vile magufuli hakaribishi watu waliotwaa tuzo na kuliinguzia taifa heshma ndo kupafanya ikulu kuwa parakatifu! Ni muendelezo uleule wa kampeni za kumchafua jk

jk ni mchafu hajawahi kuwa msafi na hatakuwa msafi na hata ukoo wake wote
 
ni upunguani kudhani mengi anamuandama jk,ni utaahira kufikiri mengi anamchafua jk na ni uendawazimu kudhani jk ni msafi kwa vyovyote vile
.Hapa hatuongei kuwa eti jk ni msafi,kama ambavyo wewe mwenyewe si msafi,ukishaitwa binadamu huwi msafi,kinachogomba hapa ni kumsakama jk bila ya ushahidi woeote ule
 
Mnaumiza vichwa vyenu bure kumsakama mtu ambaye hafanani na nyie hata mkitukana vipi mnabaki madebe mature tu. .....
 
12592399_1028408050556986_6135784011799817681_n.jpg


Mwaka mmoja uliopita ungeweza kuamini kuwa Mtanzania aliyetwaa tuzo ya Mwanasoka Bora wa Afrika kwa Wachezaji wa Ndani hatoitwa Ikulu na Rais Jakaya Kikwete kwa ajili ya kupongezwa?

Jibu la swali hilo ni hapana....
Hiyo ni staili ya jpm kuongoza kwani mwaja mmoja uliopita uliwahi kufikiri kuna wizara ya wasanii kuundwa?Rais sio malaika ni mtu kama sisi tu na ikulu sio paradiso,mbona makanisani na misikitini ambapo ndio patakatifu wanaingia watu wa kila aina?
 
Mengi bwana! Jk anawatesa sana watu hawa
Hasira za kushindwa Lowassa zote wanamtupia kikwete,halafu huyu mengi anajisahau sana.ni mfanyabiashara wa kwanza nchi kuitwa ikulu baada ya kikwete kuapishwa,je na yeye aliitwa kwenye danguro.Malipo ni hapa hapa soon atamkumbuka tu kikwete
 
Back
Top Bottom