Habarini wana jamii,
naomba msaada wa kuyajua haya mafuta tajwa hapo juu. Nahitaji mafuta mazuri ya kung'arisha mwili mzima ambayo ntachanganya na lotion au ntapaka juu yake.
Nataka kufahamu kama hayachubui, na je yana madhara. gani kama mtu alishawahi tumia. Naona yanasifiwa sana, kabla sijafanya maamuzi naombeni ushauri kama yanafaa kwa matumizi bila kubadili rangi.
Asanteni