N ngawia JF-Expert Member Feb 11, 2014 736 743 Oct 22, 2024 #1 Wakuu naomba ABC kuhusu hii biashara ya mafuta kutoka kwenye maganda ya korosho. Upatikanaji wa maganda ya korosho je upo kwa wingi na Bei yake kwenye viwanda. Je Lita 40000 Inatumia maganda kg ngapi?
Wakuu naomba ABC kuhusu hii biashara ya mafuta kutoka kwenye maganda ya korosho. Upatikanaji wa maganda ya korosho je upo kwa wingi na Bei yake kwenye viwanda. Je Lita 40000 Inatumia maganda kg ngapi?