SANCTUS ANACLETUS
JF-Expert Member
- Mar 5, 2016
- 3,338
- 4,672
Ni sawa shareholder mmoja halazimiki kuuza shares kwa mwenzake lakini ukumbuke Jiji ni legal entity.Lilikuwa na bodi ya wakurugenzi na shareholders ambao ni baraza la madiwani.Je,madiwani waliwahi kutoa consent kupitia Ordinary or Extraordinary meeting kuuza hizo hisa zao?kuna watu mtakuja kuwa very disappointed,shareholder halazimiki kuuza share zake kwa shareholder mwenzake,majamaa yako within law,ndo maana hata kesi ilibidi ifutwe.
Jiji walizouza ni share zao na si zile za serikali
lakini sababu waliyoitoa sio hiyo unayoisema. Wao wamesema aliyetakiwa kufanya hivyo no serikali ila kwa kuwa alikuwa slow ndio maana wakaendelea na uuzaji.Ni
Ni sawa shareholder mmoja halazimiki kuuza shares kwa mwenzake lakini ukumbuke Jiji ni legal entity.Lilikuwa na bodi ya wakurugenzi na shareholders ambao ni baraza la madiwani.Je,madiwani waliwahi kutoa consent kupitia Ordinary or Extraordinary meeting kuuza hizo hisa zao?
mwaka 1992 Sheria ya Mashirika ya Umma ilipotungwa, ilikuwa imebainisha kuwa shirika linatambulika kuwa la umma pale Serikali inapokuwa na asilimia 50 ya hisa. Kwa mantiki hiyo, kwa Serikali kumiliki asilimia 49, UDA ilipoteza sifa za kuwa Shirika la Umma, bali Serikali ilibaki kuwa mbia.
Sheria hii ndiyo iliyowapa fursa aliyekuwa Meya wa Jiji la Dar es Salaam, aliyeshindwa ubunge Jimbo la Ubungo mwaka jana, Dk. Didas Masaburi, ambaye kwa kushirikiana na aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya UDA wakati huo, Iddi Simba, waliiuza UDA kwa Simon Group bila kuishirikisha Serikali.
Mafuru yuko sahihi, Ukawa mmeshang'olewa meno.Kwa tafsiri fupi tu ya kitaani utapeli, ni mtu mmoja kujipa madaraka juu ya kisicho chake na kujimilikisha au kukiuza. Yani ukisema nimetapeliwa mtu anaelewa kuna mtu kakuzidi kete kwenye kitu chako kwa kukifanya chake au kakuuzia kitu kisicho chake. Changa la Macho!!
Nasikia maumivu ya kichwa kwa mbali. Ina maana mtu akiuza nitu chako eg nyumba bila idhini yako mwenye mali yule aliyenunua atakuwa anamiliki kihalali?
Mafuru hapo amejichanganya sana, anasema mwenye maamuzi ya mwisho uuzwaji wa hisa ni CABINET chini ya RAIS. Na hawakutaarifiwa ILA Masaburi na wenzake watatu wakauza kisa CABINET walikuwa taratibu kuwajibu!! Really?
Hapo wana set very bad precedent.
Hivi kweli urudi ukute nduguyo kauza nyumba yako kisa kila alipokuwa anakutaarifu juu ya uchakavu ukawa huchukui hatua, utachukuliaje hilo swala? Kwamba aliyenunua kapata kiharali au kamtapeli mnunuzi?
Masaburi na hao wenzake watatu ni matapeli kwa kuuza kitu kisichokuwa chao. Na je, kosa la utapeli adhabu yake ni nini?
Msipowachukulia kama matapeli maana yake hata Headmaster wa shule ya serikali kama hajibiwi na wizara ya elimu juu ya kudorora kwa shamba la shule, kwa kushirikiana na kamati ya shule wanaweza kuuza kipande cha ardhi cha shule.
huu uchambuzi ni sahihi kabisa. haiwezekana hisa za serikali kuuzwa bila cabinet kujua iwe sawa ila hisa za jiji kuuzwa bila idhini ya madiwani kua sahihi. hata hivyo kubenea ametoa uchambuzi kuonyesha vikao vya halmashauri vilivyoidhinisha kuuzwa UDA licha ya kushiriki meya na baadhi ya viongozi wa jiji havikua halali. baya zaidi ni pale UDA hii ya matapeli inapopewa kuendesha mradi wa DART. tuombe uhai kama hatukushuhudia madudu ya ajabu.Kwa tafsiri fupi tu ya kitaani utapeli, ni mtu mmoja kujipa madaraka juu ya kisicho chake na kujimilikisha au kukiuza. Yani ukisema nimetapeliwa mtu anaelewa kuna mtu kakuzidi kete kwenye kitu chako kwa kukifanya chake au kakuuzia kitu kisicho chake. Changa la Macho!!
Nasikia maumivu ya kichwa kwa mbali. Ina maana mtu akiuza nitu chako eg nyumba bila idhini yako mwenye mali yule aliyenunua atakuwa anamiliki kihalali?
Mafuru hapo amejichanganya sana, anasema mwenye maamuzi ya mwisho uuzwaji wa hisa ni CABINET chini ya RAIS. Na hawakutaarifiwa ILA Masaburi na wenzake watatu wakauza kisa CABINET walikuwa taratibu kuwajibu!! Really?
Hapo wana set very bad precedent.
Hivi kweli urudi ukute nduguyo kauza nyumba yako kisa kila alipokuwa anakutaarifu juu ya uchakavu ukawa huchukui hatua, utachukuliaje hilo swala? Kwamba aliyenunua kapata kiharali au kamtapeli mnunuzi?
Masaburi na hao wenzake watatu ni matapeli kwa kuuza kitu kisichokuwa chao. Na je, kosa la utapeli adhabu yake ni nini?
Msipowachukulia kama matapeli maana yake hata Headmaster wa shule ya serikali kama hajibiwi na wizara ya elimu juu ya kudorora kwa shamba la shule, kwa kushirikiana na kamati ya shule wanaweza kuuza kipande cha ardhi cha shule.
Anachofanya ni kucheza na hisia za watanzania, haiwezekani na haitotokea vita vya ufisadi vikatekelezwa na CCM ikabaki salama. Ili CCM iwe salama lazima mtoto wake UFISADI aishi, ukiuua basi na mzazi wake atakufa, na Magufuli hana ubavu huoNani kakwambi kuwa hii sirikali ipo serious na mafisadi
Never ever....
Katika mpy
richmond
Mikataba ya Gas& Madini
Kiwira
Escrow
Meremeta mmmhh
Maelezo mazuri,wadau naomba muongezee nyama maelezo hayamwaka 1992 Sheria ya Mashirika ya Umma ilipotungwa, ilikuwa imebainisha kuwa shirika linatambulika kuwa la umma pale Serikali inapokuwa na asilimia 50 ya hisa. Kwa mantiki hiyo, kwa Serikali kumiliki asilimia 49, UDA ilipoteza sifa za kuwa Shirika la Umma, bali Serikali ilibaki kuwa mbia.
Sheria hii ndiyo iliyowapa fursa aliyekuwa Meya wa Jiji la Dar es Salaam, aliyeshindwa ubunge Jimbo la Ubungo mwaka jana, Dk. Didas Masaburi, ambaye kwa kushirikiana na aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya UDA wakati huo, Iddi Simba, waliiuza UDA kwa Simon Group bila kuishirikisha Serikali.
Ilagala umepotoka ndugu yangu kudhani kila anayehoji jambo la serikali ni UKAWA. Na kama unaenda na mwendo huo wa kudhani utakuwa mwana CCM mzuri kwa kutia tiki kila jambo.Mafuru yuko sahihi, Ukawa mmeshang'olewa meno.
IRAMBA mafuru kapotoka.Kwanza bodi ya wakurugenzi Uda mwanasheria wa jiji kama liaison officer siyo mjumbe wa bodies yeye alihusika kusaini mkataba kama mtaalamu,wajumbe wa bodi waliohusika qoram haikifika na SG ya Kisena alitakiwa atambue I'll kwamba anasaini mkataba fake or null and void from its beginning. Yale maneno Mafuru aliyoongea kweli amedhalilisha watu wwa Musoma sana maana hawana Tabia ya kutumika kama mipira.God forbids foreverMaelezo mazuri,wadau naomba muongezee nyama maelezo haya
asante,kwa kujazia nyamaIRAMBA mafuru kapotoka.Kwanza bodi ya wakurugenzi Uda mwanasheria wa jiji kama liaison officer siyo mjumbe wa bodies yeye alihusika kusaini mkataba kama mtaalamu,wajumbe wa bodi waliohusika qoram haikifika na SG ya Kisena alitakiwa atambue I'll kwamba anasaini mkataba fake or null and void from its beginning. Yale maneno Mafuru aliyoongea kweli amedhalilisha watu wwa Musoma sana maana hawana Tabia ya kutumika kama mipira.God forbids forever