Mafuru Usihalalishe Utapeli wa Masaburi - UDA

Ni
kuna watu mtakuja kuwa very disappointed,shareholder halazimiki kuuza share zake kwa shareholder mwenzake,majamaa yako within law,ndo maana hata kesi ilibidi ifutwe.
Jiji walizouza ni share zao na si zile za serikali
Ni sawa shareholder mmoja halazimiki kuuza shares kwa mwenzake lakini ukumbuke Jiji ni legal entity.Lilikuwa na bodi ya wakurugenzi na shareholders ambao ni baraza la madiwani.Je,madiwani waliwahi kutoa consent kupitia Ordinary or Extraordinary meeting kuuza hizo hisa zao?
 
lakini sababu waliyoitoa sio hiyo unayoisema. Wao wamesema aliyetakiwa kufanya hivyo no serikali ila kwa kuwa alikuwa slow ndio maana wakaendelea na uuzaji.
 
Mimi sioni tatizo lipo wapi! Jiji linaongozwa na UKAWA. Kikao cha juu kabisa ni Baraza la Madiwani chini ya uenyekiti wa Meya wa Jiji (ambae ni UKAWA) na Mkurugenzi wa Jiji kama Katibu. Technically, Mkurugenzi hana ubavu wa kufurukuta mbele ya Baraza la Madiwani!!

Sasa basi, UKAWA wamepewa RUNGU la kuwawezesha kupata ukweli kuhusu sakata la UDA! Hapa wasitafute excuse... nguvu na mamlaka hayo wanayo! Miaka ikipita bila kuwa na SOLID & CLEAR answer kuhusu UDA, binafsi UKAWA wala sitawaelewa na Nita - abuse any UKAWA unofficial and less solid claims about UDA kv wameshapewa nyenzo!
 
Kwa msimamo huu wa Mafuru yeye kama msajili wa hazina na mwenye dhamana ya kulinda mali za umma/serikali nadhani mali za watz hazipo salama mikononi mwa mafuru.....anatetea matapeli wa simon group na idd simba ( waliogawana UDA bila kufuata taratibu za kisheria).....anapingana na CAG bila hoja za msingi!
Mhe.Rais tuondolee huyu Mafuru ni JIPU!
 
nilipomsikiliza jana nikagundua kuwa kuna watu walisomeshwa kwa kodi za maskini waje kuwa matapeli na wanyonyaji wa maskini wengine
 
mwaka 1992 Sheria ya Mashirika ya Umma ilipotungwa, ilikuwa imebainisha kuwa shirika linatambulika kuwa la umma pale Serikali inapokuwa na asilimia 50 ya hisa. Kwa mantiki hiyo, kwa Serikali kumiliki asilimia 49, UDA ilipoteza sifa za kuwa Shirika la Umma, bali Serikali ilibaki kuwa mbia.
Sheria hii ndiyo iliyowapa fursa aliyekuwa Meya wa Jiji la Dar es Salaam, aliyeshindwa ubunge Jimbo la Ubungo mwaka jana, Dk. Didas Masaburi, ambaye kwa kushirikiana na aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya UDA wakati huo, Iddi Simba, waliiuza UDA kwa Simon Group bila kuishirikisha Serikali.

Ahsante kwa maelezo mazuri.

Tatizo la watanzania walio wengi wanatala watu waadhibiwe kwa makosa au utendaji mbovu wa serikali.

Hapa anaona watu wanatska Simon Group aadhabiwe kwa maamuzi mabovu aliyoyafanya Dr. Masabuli na bodi ya wakurugenzi wa UDA.

Pamoja na kufanya hayo maamuzi mabovu ya kuiiza UDA but very important maamuzi hayo yalikuwa with their legal jurisdiction.

Kwahiyo kosa hapa sio la Simon Group yeye alitumia weekness ya uongozi wa UDA kuinunua UDA. Hivyo Simon Group ni mmiliki halali wa UDA.
 
Hakika jana Mafuru amenishangaza sana lkn lazima amtetee bosi wake wa zamani Magufuli aangalie jipu hilo aliwahi kabla halijapasukia kwenye shuka.Jiji wasikate tamaa mahakama zipo kutafsiri sheria,tutajua nani zaidi CAG,au Mafuru.
 
Kwa tafsiri fupi tu ya kitaani utapeli, ni mtu mmoja kujipa madaraka juu ya kisicho chake na kujimilikisha au kukiuza. Yani ukisema nimetapeliwa mtu anaelewa kuna mtu kakuzidi kete kwenye kitu chako kwa kukifanya chake au kakuuzia kitu kisicho chake. Changa la Macho!!

Nasikia maumivu ya kichwa kwa mbali. Ina maana mtu akiuza nitu chako eg nyumba bila idhini yako mwenye mali yule aliyenunua atakuwa anamiliki kihalali?
Mafuru hapo amejichanganya sana, anasema mwenye maamuzi ya mwisho uuzwaji wa hisa ni CABINET chini ya RAIS. Na hawakutaarifiwa ILA Masaburi na wenzake watatu wakauza kisa CABINET walikuwa taratibu kuwajibu!! Really?
Hapo wana set very bad precedent.
Hivi kweli urudi ukute nduguyo kauza nyumba yako kisa kila alipokuwa anakutaarifu juu ya uchakavu ukawa huchukui hatua, utachukuliaje hilo swala? Kwamba aliyenunua kapata kiharali au kamtapeli mnunuzi?

Masaburi na hao wenzake watatu ni matapeli kwa kuuza kitu kisichokuwa chao. Na je, kosa la utapeli adhabu yake ni nini?

Msipowachukulia kama matapeli maana yake hata Headmaster wa shule ya serikali kama hajibiwi na wizara ya elimu juu ya kudorora kwa shamba la shule, kwa kushirikiana na kamati ya shule wanaweza kuuza kipande cha ardhi cha shule.
Mafuru yuko sahihi, Ukawa mmeshang'olewa meno.
 
huu uchambuzi ni sahihi kabisa. haiwezekana hisa za serikali kuuzwa bila cabinet kujua iwe sawa ila hisa za jiji kuuzwa bila idhini ya madiwani kua sahihi. hata hivyo kubenea ametoa uchambuzi kuonyesha vikao vya halmashauri vilivyoidhinisha kuuzwa UDA licha ya kushiriki meya na baadhi ya viongozi wa jiji havikua halali. baya zaidi ni pale UDA hii ya matapeli inapopewa kuendesha mradi wa DART. tuombe uhai kama hatukushuhudia madudu ya ajabu.
 
Nani kakwambi kuwa hii sirikali ipo serious na mafisadi

Never ever....

Katika mpy
richmond

Mikataba ya Gas& Madini
Kiwira
Escrow
Meremeta mmmhh
Anachofanya ni kucheza na hisia za watanzania, haiwezekani na haitotokea vita vya ufisadi vikatekelezwa na CCM ikabaki salama. Ili CCM iwe salama lazima mtoto wake UFISADI aishi, ukiuua basi na mzazi wake atakufa, na Magufuli hana ubavu huo
 
mwaka 1992 Sheria ya Mashirika ya Umma ilipotungwa, ilikuwa imebainisha kuwa shirika linatambulika kuwa la umma pale Serikali inapokuwa na asilimia 50 ya hisa. Kwa mantiki hiyo, kwa Serikali kumiliki asilimia 49, UDA ilipoteza sifa za kuwa Shirika la Umma, bali Serikali ilibaki kuwa mbia.
Sheria hii ndiyo iliyowapa fursa aliyekuwa Meya wa Jiji la Dar es Salaam, aliyeshindwa ubunge Jimbo la Ubungo mwaka jana, Dk. Didas Masaburi, ambaye kwa kushirikiana na aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya UDA wakati huo, Iddi Simba, waliiuza UDA kwa Simon Group bila kuishirikisha Serikali.
Maelezo mazuri,wadau naomba muongezee nyama maelezo haya
 
Mafuru yuko sahihi, Ukawa mmeshang'olewa meno.
Ilagala umepotoka ndugu yangu kudhani kila anayehoji jambo la serikali ni UKAWA. Na kama unaenda na mwendo huo wa kudhani utakuwa mwana CCM mzuri kwa kutia tiki kila jambo.
Na kwa taarifa yako majority of people hatuna cha ukawa wala ccm, tunachohitaji ni maendeleo tu.
 
Maelezo mazuri,wadau naomba muongezee nyama maelezo haya
IRAMBA mafuru kapotoka.Kwanza bodi ya wakurugenzi Uda mwanasheria wa jiji kama liaison officer siyo mjumbe wa bodies yeye alihusika kusaini mkataba kama mtaalamu,wajumbe wa bodi waliohusika qoram haikifika na SG ya Kisena alitakiwa atambue I'll kwamba anasaini mkataba fake or null and void from its beginning. Yale maneno Mafuru aliyoongea kweli amedhalilisha watu wwa Musoma sana maana hawana Tabia ya kutumika kama mipira.God forbids forever
 
asante,kwa kujazia nyama
 
Back
Top Bottom