Kwa kweli hata mimi sikutarajia mtu kama Mafuru kwanza kama msomi, pili mwangalizi mkuu wa hisa za serikali kukili kwamba Simon Group ni wamiliki halali.Kitakachomnyima Simon Group uhalali WA mali aliyonunua ni kipengere cha DUE DELIGENCY mnunuzi alipaswa kujiridhisha kuwa waliokuwa wanauza UDA walikuwa wenye Mali ? Je walijiridhisha pas ipo mash aka kwamba bodi ya wakurugenzi walikuwa na uwezo WA kuuza UDA bila Kibali cha shareholders.Je walitoa nafasi kwa mwanahisa mwenza ambaye in serikali nafasi ya kununua 51% za hisa kabla ya kuuza nje ya shareholding.Mafuru awe makini kutamka kwamba Simon in mmiliki halali.
su kama
hisa za serikali kukili kwamba Simon Group ni wamiliki halali.
Labda waseme kama hilo jipu hata likitumbuliwa litawagusa wengi na ndio wanachokwepa.
nashukuru Faiza kwa masahihisho ya lugha hapo.= kukiri
Nani kakwambi kuwa hii sirikali ipo serious na mafisadiKama SIMON GROUP ni mumiliki halali wa UDA serikali imempa basi,hata Rais wetu aache kutumbua majipu kwani serikali haiko serious bali in tumbua majipu kwa manufaa yao.
Asante tena Bibie Faiza for the help.
Kisena kaliwa , amtafute idd simba amrudishie hela zake .Kitakachomnyima Simon Group uhalali WA mali aliyonunua ni kipengere cha DUE DELIGENCY mnunuzi alipaswa kujiridhisha kuwa waliokuwa wanauza UDA walikuwa wenye Mali ? Je walijiridhisha pas ipo mash aka kwamba bodi ya wakurugenzi walikuwa na uwezo WA kuuza UDA bila Kibali cha shareholders.Je walitoa nafasi kwa mwanahisa mwenza ambaye in serikali nafasi ya kununua 51% za hisa kabla ya kuuza nje ya shareholding.Mafuru awe makini kutamka kwamba Simon in mmiliki halali.
kuna watu mtakuja kuwa very disappointed,shareholder halazimiki kuuza share zake kwa shareholder mwenzake,majamaa yako within law,ndo maana hata kesi ilibidi ifutwe.Mafuru kasema et Bodi ndo iliuza hisa za kampuni na mbaya zaidi akasema et Mmliki hakushirikishwa, hivi inakuaje bodi ya shirika iuze hisa bila serikali kushirikishwa aliyesaini hayo makubaliano ni nani? Huu ni ulaghai uliotukuka
...analipa fadhila...huyu anajua anaowatetea...na anajua walikomtoa...yote majipu tu haya...
Mkuu naoma hapo tumepishana uelewa Mafuru kasema Jiji halikuhusika waliofanya maamuzi ni bodi ya UDA sio jiji......na Mafuru kasema hiyo haikubaliki bodi inabidi wawajibike kwa mjibu wa Mafurukuna watu mtakuja kuwa very disappointed,shareholder halazimiki kuuza share zake kwa shareholder mwenzake,majamaa yako within law,ndo maana hata kesi ilibidi ifutwe.
Jiji walizouza ni share zao na si zile za serikali
Nimesikia akitamka hayo nikachoka kabisa!Kitakachomnyima Simon Group uhalali WA mali aliyonunua ni kipengere cha DUE DELIGENCY mnunuzi alipaswa kujiridhisha kuwa waliokuwa wanauza UDA walikuwa wenye Mali ? Je walijiridhisha pas ipo mash aka kwamba bodi ya wakurugenzi walikuwa na uwezo WA kuuza UDA bila Kibali cha shareholders.Je walitoa nafasi kwa mwanahisa mwenza ambaye in serikali nafasi ya kununua 51% za hisa kabla ya kuuza nje ya shareholding.Mafuru awe makini kutamka kwamba Simon in mmiliki halali.