mrdocumentor
Member
- Nov 27, 2021
- 45
- 56
Hello,
Jina Langu Mr Documentor, Founder and Owner of Mr Documentor Academic Hub.
Nitumie Furse hii ya uhai kuwakaribisha wanafunzi wote Tanzania hii na Nje ya Tanzania Ambao wanatarajia kufanya Research Mwaka huu wa Masomo yaani 24/25 Kuhudhuria kwenye Darasa la uandishi wa Research Proposal Ambalo litafanyika Kwa siku 22 kwa mgawanyo wa kila siku saa 4 Usiku kuwa na kipindi Kimoja.
Mafunzo yatafanyika BURE KABISA pasi na kulipia chochote , Lengo la Kuandaa mafunzo haya ni kuwajengea uwezo Researchers au wanafunzi ambao wanaelekea kufanya Research kama sehemu ya Matakwa ya Taaluma zao kuweza aidha kuandika au kuielewa kwa uchache. Ili hata wale wanaoandikiwa waweze kuisoma na kuelewa ili inapotokea case ya ku defend inamfanya Mwanafunzi aweze ku defend mwenyewe kwa ufanisi na hata baada ya kumaliza Uko Mbele atakuwa na uwezo wa kufanya kazi mwenyewe.
Mwambie Mwenzako asikose Mafunzo haya ni muhimu sana tena sana
Mafunzo yatafanyika Whatsapp Group
Tuma Neno "NIUNGE"
Kwenda namba 0683645693
@mwanachuofamily
@uni_kiki_
#studentlife
#student
#studenttz