Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Wakubwa wale wa OP magufuli tangu enzi zile Mpo. Salam kwenu tumetoka mbali

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wakuu Mimi na swali moja.

mwaka huu na graduate bsc with education masomo ya physics na mathematics ndoto zangu ni kufundisha shule za jeshi,

Swali langu ni moja je nikiingia JKT itakua ni njia moja wapo ya Mimi kufikia lengo langu? Je naweza kwenda JKT then nikapoteza tu mda?

Nawasilisha
 
Vyote vinawesekana.
 
Wakuu!maafisa na askari wa majeshi na vyombo vya usalama na raia itifak imezingatiwa.
Muda umepita sasa najua wapo waliofanikiwa na wengine bado wanapambana. Nawatakien kila la heri.

Tangu op kikwete mpaka leo Op makao makuu dodoma.

Tupo pamoja.

Nawasilisha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom