kama unapenda speed njoo nkuuzie Honda CBR CC 450 top speed 260+,bomba 4,Ninamiliki pikipiki aina ya gsm 150..kulingana na safar zang, speed yake hainirizishii. je kuna uwezo wa kuongeza capacity ya engine?? au je kuna engine zinazoingiliana na hizi pikipiki zenye uwezo mkubwa katika speed?? Naomba kuwasiliana na yeyote mwenye kuweza hayo
Siamini kama kuna fundi pikipiki anaetumia jf maana wale kazi zao dah bize 24hrskama unapenda speed njoo nkuuzie Honda CBR CC 450 top speed 260+,bomba 4,
price 3.5M,
pikipiki iko Zanzibar INA week moja,ukiitaka dar unaweza ukafanyiwa màarifa.
Unaweza kutuwekea picha kidogokama unapenda speed njoo nkuuzie Honda CBR CC 450 top speed 260+,bomba 4,
price 3.5M,
pikipiki iko Zanzibar INA week moja,ukiitaka dar unaweza ukafanyiwa màarifa.
Mkuu imegombaniwa sana..ishauzwa.Unaweza kutuwekea picha kidogo
Ilikuwa hivyo tangu mpya au imeanza kupunguza speed hiv karibuni? Ukijibu hilo tutajua tuanzie wapiNinamiliki pikipiki aina ya gsm 150..kulingana na safar zang, speed yake hainirizishii. je kuna uwezo wa kuongeza capacity ya engine?? au je kuna engine zinazoingiliana na hizi pikipiki zenye uwezo mkubwa katika speed?? Naomba kuwasiliana na yeyote mwenye kuweza hayo
Mmmh jembe dogo ndo itakimbia sana lakini nguvu kwenye miinuko itakuwa ndogo..ukiweka jembe kubwa nguvu itakuwa kubwa but mzunguko/speed ndogo.Mkuu, badilisha 'jembe' la nyuma. Ukipata jembe kubwa that means piki piki yako itakimbia zaidi, sema haitakuwa na uwezo wa kutosha kuchukua mizigo mizito...
Mkuu nimepata nyingine icheki juu hapoUnaweza kutuwekea picha kidogo
Mkuu, kula nne...;Honda CC650
4 pistons
Top speed 260 KPH
Asking 5.7M Dar.
Mkuu huyu anataka pikipiki inayokimbia tu,hio yake mwisho 140, sasa hapa tunampa option za pikipiki ziko mpaka top speed 360,yeye na roho yake tu.Kwa uelewa wa elimu yangu kidogo ya darasani angalia cabulator yake au inbadilishe , kama inatumia umeme kagua charging system pia plugs na ignition coil yake uone kama zinafanya kazi vizuri.

kama unapenda speed njoo nkuuzie Honda CBR CC 450 top speed 260+,bomba 4,
price 3.5M,
pikipiki iko Zanzibar INA week moja,ukiitaka dar unaweza ukafanyiwa màarifa.
Kwa uelewa wa elimu yangu kidogo ya darasani angalia cabulator yake au inbadilishe , kama inatumia umeme kagua charging system pia plugs na ignition coil yake uone kama zinafanya kazi vizuri.