"Tuna vita vya kiuchumi na wazungu tena mabeberu. Mabeberu sio watu wazuri" alisikika mjinga mmoja akiwaponda watu waliomuwekea betri kwenye moyo ili kuokoa maisha take.

Magufuli si mtu mzuri alisikika mburu ngeke mmoja aliekuwa anaamka saa tisa usiku kuchota maji halafu awahi kibarua posta kabla foleni haijakolea…
 
Kwa mtu anayetoka Nchi iliyokuwa British Colony na akasoma mpaka Form IV tu hana EXCUSE ya kutoongea Kiingereza.

Huyo DIKTETA wenu kubalini alikuwa kichwa cha panzi ndiyo maana alikuwa Aisha anaongea broken English au aongee Kiswahili tu. Halafu anawadanganya ana PhD?
Kingereza ndio nini? Ni maendeleo, chakula au ni nini hicho?

Unawajua wachina wewe?
 
Kwa spidi ya mikopo isokuwa na tija muda sio mwingi watarudi hao waliokufundisha kiingereza utapewa namba yako na kukabidhiwa shamba ….ndio tutajua manufaa ya hicho kiingereza unachokiona mali…
Kuna mtu kakopa kumzidi mungu wenu wa Chato? Au unadakia tu hoja ya mikopo?
 
Kwa mtu anayetoka Nchi iliyokuwa British Colony na akasoma mpaka Form IV tu hana EXCUSE ya kutoongea Kiingereza.

Huyo DIKTETA wenu kubalini alikuwa kichwa cha panzi ndiyo maana alikuwa Aisha anaongea broken English au aongee Kiswahili tu. Halafu anawadanganya ana PhD?
Umasikini unadumaza sana akili zetu... Mungu akusamehe...
 
Back
Top Bottom