Madhara ya dawa ya kuzuia mimba P2

Binafsi nikitaka kujua madhara ya kitu au jambo fulani kiafya ama kimaisha ni lazima nilipime hilo jambo ama hicho kitu kwa kulinganisha na Asili ya Mungu . Nikibaini kuna ukinzani basi nakuwa nimepata jibu wala hakuna haja ya kuwauliza wataalamu ama watu wengine.
 
Madhara yapo tena makubwa bt inategemea na mwili wa mtu, huwa inasababisha overbleeding, amenorrhea (kutopata hedhi) na kubwa zaidi ni hormonal imbalance. Sishauri mtu atumie.
Natumaini wote wazima humu na kama kuna mwenye tatizo basi mwenyezi MUNGU amfanyie wepesi.
Naomba msaada wenu kujua kama kuna madhara yoyote kwa mwanamke anaetumia dawa za kuzuia mimba P2.
 
Tahadhari ya kuepuka mimba ni kubwa kuliko tahadhari ya kuepuka maambukizi ya HIV,

Hivi hii imekaaje wadau?
 
Back
Top Bottom