Mshauri haraka afanye hayo unayosema ili aharakishe kujiondoa mwenyewe pasipo kuguswa na mtuSasa hivi hapa JF karibia kila post imejaa vitisho kwa Raisi wa JMTZ, sasa kwa maoni yangu hii ina athari mbaya sana nchi na inaweza kuibadilisha nchi hii forever!
Kwanza ieleweke hakuna mwenye uwezo wa kumuondoa Raisi wa JMTZ kwa nguvu siyo Bunge wala Mtu yoyote yule!
Sasa kipi kitatokea? Raisi kwa kutumia madaraka yake makubwa anaweza kuanza kujilinda, hili siyo geni Dunia hii na tukifikia huko tutakuwa tumeshaipoteza Tanzania kama tuijuavyo, Raisi anaweza kuanza kuteua watu anaowaamini, anaweza kuanza kuisuka upya Nchi kwa lengo la kujilinda dhidi ya vitisho vyenu msisahau pia Raisi anatokea eneo ambalo lina Watanzania wengi klk yote, sasa ni rahisi sana Raisi wa nchi kutumia hivi vitisho vyenu na kuwaaminisha watu wa Kanda ya Ziwa kwamba anaonewa na hawana budi kumlinda hili hutokea Dunia nzima, hivyo kwangu ni angalizo tu!
Hamna uwezo wowote wa kumuondoa Raisi hivyo msitake tu file huko ...
Aongoze si atongozeBarbarossa unasikitisha kuanzisha mada isiyokuwepo. Labda anatishwa na kivuli chake na si WaTz. Ni vema tu mkamshauri atongoze kwa uadilifu ule ule alioanza nao nasi kuwa na double standard.
Nawe umekosa kazi tu. Km hataki kukosolewa achie uraisi hata sasa hiv.
CCM NYIE NI VICHAA. UNAFIKIRI HIKI KIZAZI NI CHA KOFIA NA T-SHIRT?
CHUKUA HII
"WATU WA SASA SIYO WALE WA MWAKA 1947 HAWA NI 2017 WENYE AKII NYINGI NA KUJITAMBUA"
Naomba unirushie kwa M-PESA milioni saba (7,000,000/=)Hahahaha kwani ataishi milele? Siku yake ikifika tamfanyia kama gadafi hata akijificha mtaroni. Tukimkosa akiwa hai hata kaburi lake tutalipiga mawe
Hatujafika level iyoSasa hivi hapa JF karibia kila post imejaa vitisho kwa Raisi wa JMTZ, sasa kwa maoni yangu hii ina athari mbaya sana nchi na inaweza kuibadilisha nchi hii forever!
Kwanza ieleweke hakuna mwenye uwezo wa kumuondoa Raisi wa JMTZ kwa nguvu siyo Bunge wala Mtu yoyote yule!
Sasa kipi kitatokea? Raisi kwa kutumia madaraka yake makubwa anaweza kuanza kujilinda, hili siyo geni Dunia hii na tukifikia huko tutakuwa tumeshaipoteza Tanzania kama tuijuavyo, Raisi anaweza kuanza kuteua watu anaowaamini, anaweza kuanza kuisuka upya Nchi kwa lengo la kujilinda dhidi ya vitisho vyenu msisahau pia Raisi anatokea eneo ambalo lina Watanzania wengi klk yote, sasa ni rahisi sana Raisi wa nchi kutumia hivi vitisho vyenu na kuwaaminisha watu wa Kanda ya Ziwa kwamba anaonewa na hawana budi kumlinda hili hutokea Dunia nzima, hivyo kwangu ni angalizo tu!
Hamna uwezo wowote wa kumuondoa Raisi hivyo msitake tufike huko, mtu mwenye akili hufanya mambo ambayo ana uwezo nayo na asiye na Akili hutumia muda mwingi kwenye jambo ambalo hawezi kulibadikisha, fanyeni Siasa nyingine, Raisi wa JMTZ ana madaraka makubwa sana, anateua karibia kila cheo muhimu hapa Tanzania, hivyo vitisho vyenu vinaweza kuback fire big time ...
Katu hawezi kutawala nchi bila wasaidizi wake na bila support ya sisi wananchi hivi vyeo ni dhamana tu kuna maisha baada ya hivyo vyeo (kila mtu na mwisho wake hakuna atakaye ishi milele)Sasa hivi hapa JF karibia kila post imejaa vitisho kwa Raisi wa JMTZ, sasa kwa maoni yangu hii ina athari mbaya sana nchi na inaweza kuibadilisha nchi hii forever!
Kwanza ieleweke hakuna mwenye uwezo wa kumuondoa Raisi wa JMTZ kwa nguvu siyo Bunge wala Mtu yoyote yule!
Sasa kipi kitatokea? Raisi kwa kutumia madaraka yake makubwa anaweza kuanza kujilinda, hili siyo geni Dunia hii na tukifikia huko tutakuwa tumeshaipoteza Tanzania kama tuijuavyo, Raisi anaweza kuanza kuteua watu anaowaamini, anaweza kuanza kuisuka upya Nchi kwa lengo la kujilinda dhidi ya vitisho vyenu msisahau pia Raisi anatokea eneo ambalo lina Watanzania wengi klk yote, sasa ni rahisi sana Raisi wa nchi kutumia hivi vitisho vyenu na kuwaaminisha watu wa Kanda ya Ziwa kwamba anaonewa na hawana budi kumlinda hili hutokea Dunia nzima, hivyo kwangu ni angalizo tu!
Hamna uwezo wowote wa kumuondoa Raisi hivyo msitake tufike huko, mtu mwenye akili hufanya mambo ambayo ana uwezo nayo na asiye na Akili hutumia muda mwingi kwenye jambo ambalo hawezi kulibadikisha, fanyeni Siasa nyingine, Raisi wa JMTZ ana madaraka makubwa sana, anateua karibia kila cheo muhimu hapa Tanzania, hivyo vitisho vyenu vinaweza kuback fire big time ...
ni kweli rais ana madaraka makubwa. lakini mbona hajatishwa au mimi sijasoma eneo hilo..wewe unataka kuleta vitisho humu. mbona watu wanachangia na kucheka bila vinyongo..sisi ni wamoja mpaka wewe labda utugawanye..Sasa hivi hapa JF karibia kila post imejaa vitisho kwa Raisi wa JMTZ, sasa kwa maoni yangu hii ina athari mbaya sana nchi na inaweza kuibadilisha nchi hii forever!