Mademu mnakera na hiki kitabia jamani.

cheo ghafla unaonekana umeenda kutega ununuliwe. Sijui wamekuwaje akina dada wa siku hizi.[/QUOTE]
Well said
 
Wa moja havai mbili kijana! Unaenda bar ni kielfu kumi chako na unajifanya kutoa offer! Utalala milango wazi
 
Last edited:
Nimeingia club namwona Demu anakunywa ndovu lager namwomba kampani anakubali namwita waitress halafu Demu anaagiza Dompo.Aisee hii atalipa mwenyewe na nishamwambia waitress Mimi nalipia ndovu tu.
Pumbaaafu

Sasa unalipiaje ndovu kamanda......wakati baybe anakunywa dompo.......?........
 
Sasa uliambiwa udandie semi wakati wee kibajaji lazima ukandamizwe,usiparamie usivyovijua
 
wadau mnapotosha maada! mtoa mada hajashindwa kulipia kinywaji dompo.ila tabia ya msichana baada ya kuitwa wawe wote kabadilika ghafla hata alichokuwa anakunywa hataki tena! hata mimi iliwahi.kunitokea kulikuwa na mdada nikitoka naye ni mwendo wa VODCA,GRANDS siku nimemfuma yuko na msela anakunywa castle ya kopo kashikilia mkononi.anatembea club nkachokaaa! mademu kwa swaga.
Unajua mkuu watu humu JF ni simbilisi sana, khaa! Hata sijui shida nn! Pumbavu. ......

Wewe umekutwa unakunywa togwa just by someone asking u for a company ndio ghafla ubadilishe to some other expensive drink! Na hilo ndio debatable topic.

Ushauri.

Wanawake/mabinti acheni ushamba, maisha ya kuiga, kujifanya matawi ya juu wakati background zenu mbaya sana, na wala msichukulie hizo nyufa zenu kama mtaji wa ku- robbe man, be urself, independent, modest, reserved, respectful and man will take care of u. Tofauti na hapo mtaishia kuliwa 0715.

Mtoa mada ulifanya la maana kuingia mitini. We si unaona kwenye maeneo yetu wanavyojishaua, mbwembwe nyiiingi wakati hata kulipia chupa ndogo ya maji hawawezi na akilipia ujue pesa ya mwenzako aliepewa ufa kabla yako....JIPANGE KWENYE FOLENI MMOJA MMOJA NDIYO MPANGO
 
Wanaume acheni kulialia kwa vitu vidogo,wakati anaagiza ulishindwa nini kumpa makavu live.....badala yake ukaishia kumkimbia!
 
Lakn mbona kama umejipendekeza mwenyewe mkuu....pole lakn...!

Ndio hapo sasa, walaa hakuombwa ni kiranga change sasa nashangaa anavyochanganyikiwa tena!!

Next time mtoa mada utoe na muongozo wa vinywaji vilivyopo kwenye uwezo wako.
 
Ndio hapo sasa, walaa hakuombwa ni kiranga change sasa nashangaa anavyochanganyikiwa tena!!

Next time mtoa mada utoe na muongozo wa vinywaji vilivyopo kwenye uwezo wako.

unamwambia waiter mletee ndovu huyu dada!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom