Mwanapropaganda
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 4,235
- 2,505
Kufanya nini mkuu?bora umetuambia leo usiku natia timu hapo

Chuo cha Ustawi nacho kinazalisha hawa watu mitaa ile

mbona unapaniki mkuukahaba wewe ongea unachokijua
Hizi lawama kwa wadada poa ni za kibaguzi.Ofm wa Shingongo vip siku hizi, nilikuwa naelekea hospital ya Marie Stopes kwenda kucheki malaria usiku huu maana ndo hospital karibu na home, baada ya kujisikia vibaya la ajabu nimekuta wale dada poa, wanafanya mapenzi kama mbwa barabarani kabisa hakuna hata kificho, mbaya zaidi pembeni kuna guest ila hawatumii guest!
Ukipita hongera bar kama unaelekea kituo cha Africasana Sinza upande wa kulia kabla hujafika ile bar ya corner bar! Ile barabara inayochepukia Marie stopes Hospital, wako njiani hapo wanavua nguo zote na kubaki uchi wakigeukia barabarani, ni aibu iliyoje hii nchi utafikiri haina serikali za mtaa, haina polisi.
Mbaya zaidi maeneo hayo ni makazi ya watu. Serikali imeshindwa kuwafukuza hawa dada poa jamani. Wanafanya mapenzi barabarani kama mbwa? Yani hakuna hata kificho! Au ndo imehalalisha uharamu huu?
Sio watu ni majini. Jisogeze uone kama hujapelekwa baharini. Kwanza wakifanya mapenzi hovyo serikali inapungukiwa nini? Waachwe tu maana hakuna namna. Bora auze papuchi kuliko kufa njaa. Kufa na kiu baharini huo ni uzembeOfm wa Shingongo vip siku hizi, nilikuwa naelekea hospital ya Marie Stopes kwenda kucheki malaria usiku huu maana ndo hospital karibu na home, baada ya kujisikia vibaya la ajabu nimekuta wale dada poa, wanafanya mapenzi kama mbwa barabarani kabisa hakuna hata kificho, mbaya zaidi pembeni kuna guest ila hawatumii guest!
Ukipita hongera bar kama unaelekea kituo cha Africasana Sinza upande wa kulia kabla hujafika ile bar ya corner bar! Ile barabara inayochepukia Marie stopes Hospital, wako njiani hapo wanavua nguo zote na kubaki uchi wakigeukia barabarani, ni aibu iliyoje hii nchi utafikiri haina serikali za mtaa, haina polisi.
Mbaya zaidi maeneo hayo ni makazi ya watu. Serikali imeshindwa kuwafukuza hawa dada poa jamani. Wanafanya mapenzi barabarani kama mbwa? Yani hakuna hata kificho! Au ndo imehalalisha uharamu huu?
Ofm wa Shingongo vip siku hizi, nilikuwa naelekea hospital ya Marie Stopes kwenda kucheki malaria usiku huu maana ndo hospital karibu na home, baada ya kujisikia vibaya la ajabu nimekuta wale dada poa, wanafanya mapenzi kama mbwa barabarani kabisa hakuna hata kificho, mbaya zaidi pembeni kuna guest ila hawatumii guest!
Ukipita hongera bar kama unaelekea kituo cha Africasana Sinza upande wa kulia kabla hujafika ile bar ya corner bar! Ile barabara inayochepukia Marie stopes Hospital, wako njiani hapo wanavua nguo zote na kubaki uchi wakigeukia barabarani, ni aibu iliyoje hii nchi utafikiri haina serikali za mtaa, haina polisi.
Mbaya zaidi maeneo hayo ni makazi ya watu. Serikali imeshindwa kuwafukuza hawa dada poa jamani. Wanafanya mapenzi barabarani kama mbwa? Yani hakuna hata kificho! Au ndo imehalalisha uharamu huu?
Hili swali natamani Jk angeliuliza!!Machangudoa wanafanya na nani?
kuokota vyupa vya plasticajira elfu sabini za Jk!! Ajira hamna mtaani unatengemea wafanye biashara gani??
Kilo moja mia mbili wakati huo anaweza kupata buzi likampa Laki moja usiku mmoja na wala hapotezi nguvu wala damu na jua LA Dar uokote kopokuokota vyupa vya plastic
Hiyo ndio the oldest professional, inatakiwa kuwa regulated. Wanaofanyia njiani ni wale choka mbaya na bei yao ni 5,000/ tu!, wanaokwenda hizo guest wapo, wao wanalipwa 20,000/- na guest unalipa wewe!, pale kuna wadada wa level ya hoteli za bei poa, hao wanalipwa 50,000. Wako dada pale Corner bar wa level ya 100,000 na lazima uende nao hoteli ya maana, ukiachana na madada poa wa hapo Sinza, night clubs zote zina madada poa wa kuanzia dola 50, dola 100 hadi dola 1000!, watu wenye kutumia huduma hizo wapo na wanalipa, tatizo kila sikku shutuma zinaelekezwa kwa hawa madada tuu, lakini hao madada, wamepanga bidhaa zao sokoni kwa sababu soko lipo na wateja wapo!, biashara hii inafuata kanuni za biashara duniani za supply and demand, demand ikiwepo, supply inaongezeka kutosheleza hiyo demand!, kama nchi yetu ina nia ya dhati ya kukomesha biashara hii haramu, sio kuzuia suppy bali ukomeshe demand!, hao wadada wakijiuza hapo kwa siku mbili wakakosa wateja, siku ya tatu hawaji!.Ofm wa Shingongo vip siku hizi, nilikuwa naelekea hospital ya Marie Stopes kwenda kucheki malaria usiku huu maana ndo hospital karibu na home, baada ya kujisikia vibaya la ajabu nimekuta wale dada poa, wanafanya mapenzi kama mbwa barabarani kabisa hakuna hata kificho, mbaya zaidi pembeni kuna guest ila hawatumii guest!
Ukipita hongera bar kama unaelekea kituo cha Africasana Sinza upande wa kulia kabla hujafika ile bar ya corner bar! Ile barabara inayochepukia Marie stopes Hospital, wako njiani hapo wanavua nguo zote na kubaki uchi wakigeukia barabarani, ni aibu iliyoje hii nchi utafikiri haina serikali za mtaa, haina polisi.
Mbaya zaidi maeneo hayo ni makazi ya watu. Serikali imeshindwa kuwafukuza hawa dada poa jamani. Wanafanya mapenzi barabarani kama mbwa? Yani hakuna hata kificho! Au ndo imehalalisha uharamu huu?
Vp wewe hujaopoa kweli? maanake wanashawishi!Ofm wa Shingongo vip siku hizi, nilikuwa naelekea hospital ya Marie Stopes kwenda kucheki malaria usiku huu maana ndo hospital karibu na home, baada ya kujisikia vibaya la ajabu nimekuta wale dada poa, wanafanya mapenzi kama mbwa barabarani kabisa hakuna hata kificho, mbaya zaidi pembeni kuna guest ila hawatumii guest!