OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 52,034
- 114,425
Nyumbu wa Lumumba hapa JF hili hawalioni na watakuja kutetea tu.
Tatizo sheikh analazimisha watu, anawalisha maneno wageni wake na wanayala kweli!
NOTE: Bavicha, naona mnafanya juhudi sana kugeuza kibao UNYUMBU, nyumbu ni bavicha ndio maana Kamanda wa kubadili gia angani kawaingiza wazima wazima mtoni na mkaliwa na mamba!
Nilijua mtachangia utumbo tu. Sasa kama serikali inafuata sheria mbona Makamba anasema Serikali ilikosea na itawalipa fidia?Serikali inapaswa ifanye kazi kama vile mother nature anavyofanya kazi. Ukitazama majanga kama Tsunami...hadi watoto wadogo walikufa kwenye lile janga...utagundua hapo nature inasimamia balance...Na sio what is right or wrong. Vivyo hivyo kwa serikali, kinachotakiwa kusimamiwa ni sheria...regardless itaathiri vipi watu walio kiuka hiyo sheria.
Swali ni je? hawakujua kama watu wanajenga mabondeni?Swali la kujiuliza ni je kujenga mabondeni ni utu?ikiwa Tanzania ina ardhi kubwa ambayo haijajengwa?
I think hao wananchi waache hivyo hivyo na mafuriko yakija na vipindupindu vikija waachwe wajifie huko mabondeni kwao, maana tushachokaMapimbi ya Lumumba yapo kibao tu..mda c mrefu yatakuja kusema wanatekeleza sheria. sheria gani hiyo? Utu washinda vyote ndugu
Hujamsikia vizuri makamba! Karudiw kumsikiliza!Nilijua mtachangia utumbo tu. Sasa kama serikali inafuata sheria mbona Makamba anasema Serikali ilikosea na itawalipa fidia?
Hivi anayeua mahakamani huwa anaulizwa, HUKUJUA KUWA KUUA NI KOSA LA JINAI? Una akili fupi sana kama nukta!Swali ni je? hawakujua kama watu wanajenga mabondeni?
Kwa nini HAUSEMI yule mwanahabari aliposema MAENEO ALIYOYAONA BONDE LA MKWAJUNI NI HATARISHI SIO YA KUISHI HASA WAKATI WA MVUA?Prof.Mihayo anasema uongozi uliopo ni uchumia tumbo,hauna mipango
Anaye uwa na anayemsaidia kuuwa wote ni wauwaji. Sasa basi hata Afisa Aridhi Wilaya ana makosa makubwa sana maana mshahara analipwa ili kuangalia maeneo ya wazi yasivamiwe. Iweje yeye ahalalishe na kodi achukue leo mseme pamevamiwa?Hivi anayeua mahakamani huwa anaulizwa, HUKUJUA KUWA KUUA NI KOSA LA JINAI? Una akili fupi sana kama nukta!
Acha kusifia hata ujinga weweKwa nini HAUSEMI yule mwanahabari aliposema MAENEO ALIYOYAONA BONDE LA MKWAJUNI NI HATARISHI SIO YA KUISHI HASA WAKATI WA MVUA?
nyumbu ni maccm, wewe na familia yakoTatizo sheikh analazimisha watu, anawalisha maneno wageni wake na wanayala kweli!
NOTE: Bavicha, naona mnafanya juhudi sana kugeuza kibao UNYUMBU, nyumbu ni bavicha ndio maana Kamanda wa kubadili gia angani kawaingiza wazima wazima mtoni na mkaliwa na mamba!