Hiyo ni allergy na mara nyingi dawa hutumika za aina tofauti ikiwepo iliyotajwa na lopinavir nalipenda jina lake ni ARV inaitwa hivyo....anyway joking ... hivyo kamuone dr wa macho ataona aina ya dawa inayofaa pole sana mjukuu wangu ana hiyo shida anatibiwa pale regency