Machine ya kufulia inauzwa bei gani?

riba

Member
Dec 30, 2016
23
13
Wakuu naomba kujua bei ya kiwango cha chini ya machine ya kufulia nguo ......ninauhitaji nayo wakuu......

Msaada wenu Plz
 
Wakuu naomba kujua bei ya kiwango cha chini ya machine ya kufulia.nguo ......ninauhitaji nayo wakuu. .....

Msaada wenu PLZ

Gharamia mpya tu ni between Tsh 500 K to 1 Million (Town or Mlimani City). Ikiwa na automatic wash, rinse & dry ni poa zaidi. Kufua kunaboa sana basi tu, hata kama una dem/mke ni wanachoka pia (Be Human). Its easier for ur chick to clean ur stuff wit a washing machine.

Note:

Cheap z Expensive.
Gharamia kitu, U enjoy long term.
 
Asante sana mkuu ...
 
Vp utumiaji wa umeme??
 
Vp utumiaji wa umeme??
Kawaida tu kwani unafua kila siku ??...unakuta kuna tenga la nguo chafu in a black plastic bag hua naweka nguo nazovaa week nzima na kuzifunga weekends shemej yako anazifua na kuzipasi....ingawa sumtyms hata within the week. Haili umeme sana (Well sijawahi fatilia, ila haili umeme mwingi)

Na since ukinunua mpya na hamna watumiaji wengi ni utatumia mpaka usahau. Kuna moja ya Samsung ipo home kwa wazazi wangu....huu unaenda mwaka wa 4 haijawahi sumbua hata siku moja. It was bought brand new.
 
Kwaiyo ni bora ununue brand new ya samsung ndo nzuri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…