Vyombo na kufua mkuu...Lakini usafi mwingine freshMkuu wewe nini kilikuwa kinakupa shida kufanya?
Wewe ni au ulikuwa mchafu tu. Kufua nguo zako au shuka hakuna uhusiano wowote na mahusiano.Habari wana-JF
Katika u-bachela nimekumbuka mambo ambayo nilikuwa naona uvivu sana kuyafanya kama vile;
1. Uvivu wa kufua Shuka, yaani shuka sifui au kubadilisha hadi siku nina ahadi na kamanzi au baada ya kufanya dyu.. dyu... ndo natoa shuka kwa ajili ya kufua.
2. Kufua Soksi, huu ni mtihani mkubwa pia. Maana unakuta hadi zinatoa harufu Kali. Kuna wakati nilikuwa navulia viatu nje na kunawa miguu ili kuondoka harufu ndani.
Kama wewe ni bachela au ulishawahi kupitia ubachela ongezea mambo ambayo ulikuwa unaona uvivu kuyafanya.
Ujinga tuu na asili ya mtuHabari wana-JF

Kuvaa tu nguo siku mbili ni uchafu pia.. So hiyo ilikua ndo tabia yakoHapana mkuu, maana nguo nyingine nilikuwa nafua. Tena ilikuwa siwezi kuvaa Nguo zaidi ya siku mbili.