Maandishi ya mwisho ya Ben Saanane

Eti kapotea!!
kwani akipotea hasara ya nani!!
Apotee vizuri tu

Kuna nchi za wenzetu waliostaarabika, China,Marekani,Uingereza, Israel, Japan n.k. akipotea raia mmoja tu wako tayari kuingia gharama yoyote hata kama ni kwenda vitani ili kutetea uhai/utu wa raia huyo bila kujali ni wa chama Twawala au Pinzani!!!
The Bible says that One Soul is equivalency to 10,000 worlds.
Then unaweza ukaona jinsi nafsi moja ya bin-adamu ilivyo na thamani!!! Halafu jitu moja kutoka CCM linapuuza na kukebei kupotea kwa Ben Saanane! Huo ni wendawazimu...........!
 
Hili taifa lina watu 50M,kumzungumzia Ben Saanane toka mwaka jana hadi leo ni kupoteza energy.

Kama yupo mafichoni analog in kwa ID fake, big up kwake kawashika wengi.

Kama alishafariki basi tuseme RIP..........lets move on.
Yakikupata wewe ndo utajua kuthamini uhai wa mtu bila kujali itikadi
 
Kama kuna mtu rais alistahili kumpoteza basi ingekua kipanya, umeona anavyo mchora magu na kidevu chake?
Hapana,sikubaliani na wewe. Hii issue Ben aliyokuwa akiishikia bango ni noma. Alikuwa keshawashinda kwa hoja watetezi. Kwa namna ambayo tumeshamsoma mkuu. Ni wazi kabisa kuwa jitihada za Ben zilimuudhi kupita kiasi. Huwezi kujuwa kuna walioamuwa kumfurahisha mkuu kwa kumzima dogo. Sad indeed if it is the case.
 
Si bora hata alivyopotea, maana hata akigongwa na nyoka chama hakiwezi kumtibu, bora wamlipe Wema Sepetu aje na wafuasi kuliko kamanda akiepata ajari au ugonjwa, hiyo ndiyo chadema kwa msiyoijua
 
Hili taifa lina watu 50M,kumzungumzia Ben Saanane toka mwaka jana hadi leo ni kupoteza energy.

Kama yupo mafichoni analog in kwa ID fake, big up kwake kawashika wengi.

Kama alishafariki basi tuseme RIP..........lets move on.
Aisee Anyway Ukatili ni Sehemu ya Maisha
 
Hili taifa lina watu 50M,kumzungumzia Ben Saanane toka mwaka jana hadi leo ni kupoteza energy.

Kama yupo mafichoni analog in kwa ID fake, big up kwake kawashika wengi.

Kama alishafariki basi tuseme RIP..........lets move on.
Utakua inahusika na vile viroba 7.
Maana sio kwa Povu ilo
 
6a8925ee27720201faaecec2a6cf0fff.jpg
 
Hivi jamani kwanini sikuhizi mmekua watu wa mipasho msiojadili hoja ila mipasho tu.
 
Back
Top Bottom