Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 45,346
- 63,914
Kwa nini meya wa jiji haonekani mstari wa mbele Katika janga la kibinadamu la kuanguka kwa ghorofa Kariakoo ambalo ni eneo lake kiutawala?
Katika maafa kama haya meya alipaswa kuwa mtu muhimu zaidi kuliko wote akizungumza na vyombo vya habari, ila hapo Kariakoo ni kama hakuna meya kabisa au amesahaulika!. Mfumo wa utawala wa serikali za mitaa nchini unashangaza sana!