Maalim Seif: Prof. Lipumba atafute uwenyekiti chama kingine, CUF hana nafasi labda uanachama tu!

Status
Not open for further replies.
Sasa roho yangu iko safi kabisa.....Jana kidogo wanivuruge

Ukawa Mwaka jana walipata kura milioni sita,Ccm kura milioni nane,kama si usaliti wa lipumba,kura zingefika milioni saba,kama si usaliti wa dk slaa....kura zingefika milioni nane saw a na za Ccm,sasa kwa uongozi wa twaha taslima,maalim,lowasa,mbowe,mbatia, ukawa wamepata wabunge wengi sana

Lipumba aliwatukana cuf na ukawa kwa ujumla kwamba wamepokea fuko la fedha ila yeye kalikataa

Asilani asirudi
 
Lipumba ni kichwa sana Maalim ameiua CUF sasa inaendeshwa na Chadema. Upinzani tunamuitaji mno lipumba ukawa imepoteza dira imenunuliwa.

Kama mnamuhitaji mchukueni mumpeleke majumbani mwenu na si UKAWA TUNAYOIJUA SISI maana hatuna kichaka cha kuwaficha wasaliti wa madiliko ktk Taifa hili.
Mwenzake atakuja naye muda si mrefu na kusingizia kuwa ni maamuzi ya mkewe na si yeye...simply no chance KWA WASALITI WOTE NA LAANA YA WATZ. ITAWAMALIZA KWA HAKIKA.
 
Hana Loyalty, Mimi nilikuwa mtu wa Kawaida tu, asiye hata Mwanachama wa chama chochote, Niliwapigia debe sana Ukawa kwa kuwa nilipenda Mabadiliko, Nilichukia Unyanyasaji, Usembe, Ufisadi na Utawala usiojali sheria, pamoja na mambo mengine. Pia niliamini na ninaamini bado kuwa CCM inatakiwa Kukaa bench ili kujenga equilibrium mpya ya Demokrasia ya Kweli. Sasa hawa waliokuwa Viongozi wa Ukawa walisaliti. Wasiaminike tena. Lipumba na Slaa wakaombe Mh. Magu awape Ukuu wa Wilaya au Ukatibu Tarafa. Yaani Ni wasaliti mpaka waliowatuma Kusaliti wamewashtukia, Lipumba alishawahi kusema hataki kutumiwa Kama Kondom lakini haki ya Mama 2015 Lipumba alitumiwa kama Kondom na Dr. Slaa akatumiwa kama Pedi.
 
bila Lipumba CUF itapwaya sana bara, hawajapata mtu wa kuibeba CUF kama anavyoibeba Lipumba
ni sawa na maalim visiwan, bila maalim hakuna CUF visiwani
 
Lakini Prof. si aliondoka mwenyewe!? Hii sio historia jamani maana kila mmoja wetu ameshuhudia.
Prof aliwaambia muungano kwenye ukawa usingeleta tija yoyote ile kwa cuf na vile vile alipinga suala la uteuzi wa EL kama mgombea wa urais kupitia umoja huo kwa vile jamaa hakuwa msafi.[matokeo yake ni kuwa CDM ilineemeka kwa hilo].
Hivi sasa CUF imepwaya kabisa hasa huku bara na Maalim anadhani hamhitaji tena[ but believe me- Huu ndiyo wakati Prof anahitajika sana lakini kama nilivyosema siku za nyuma ni kwamba CUF kina mwenyewe na mwenyewe akisema sitaki inakuwa hivyo.[ Kwenye hili sakata nadhani prof amemtega maalim na mwisho wa siku chama hiki kama hakitasimama imara kwenye misingi thabiti kitayumba vibaya sana.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom