abuumwasiti20
JF-Expert Member
- Oct 19, 2016
- 287
- 352
Hiyo nizima moto2 watu wamuone kua yuko ila kwishiney huyo nahiv karibun atazimwa kama taa
Propesa anasubiri backup ya wale jamaaPropesa lipumb tumbo joto, maalim Seif ni kiboko cha wanafiki
So what ?
Usafi uko palepale .Aitishe na Mikutano mikubwa 2.
Mmoja Buguruni, baada ya Mkutano wanasafishe na Ofisi + kubadili vitasa.
Angalia, maneno huumba ndugu. Tutakutafuta weweee!Hiyo nizima moto2 watu wamuone kua yuko ila kwishiney huyo nahiv karibun atazimwa kama taa
Una mkubari harafu tumwamini!!Huyu jamaa KATIKA wanasiasa. Wote wa upinzani namkubali sana
Ila tatizo mimi huwa simuamini amini
Ulitaka afanyeje mbele ya majambazi yanayosaidiwa na serikali?abebe bunduki au.Hana jipya huyo akawadanganye watoto wadogo yeye tangu 1995 anaporwa ushindi wake lakini hakuna hatua aliyoichukua amebakiza maneno tu
Juhudi zinaendelea .Picha plz
Juhudi zinaendelea .
Hapako salama , magari yameharibika baada ya mungiki kupigwa mawe na wananchi .Buguruni pako salama?
Achukue hatua gn nyingne zaid ya kulalamika kwny vyombo vya kimataifa maana katiba yetu hairuhusu kupinga matokeo ya urais mahakamanHana jipya huyo akawadanganye watoto wadogo yeye tangu 1995 anaporwa ushindi wake lakini hakuna hatua aliyoichukua amebakiza maneno tu