S singidadodoma JF-Expert Member Nov 11, 2013 4,394 1,536 Feb 29, 2016 #1 Mi nashangaa kwanini afya ya Seif Sharifu inafanywa kuwa siri, SMZ na Cuf tuwekeni wazi katika hili tafadhali
Mi nashangaa kwanini afya ya Seif Sharifu inafanywa kuwa siri, SMZ na Cuf tuwekeni wazi katika hili tafadhali
Allen Kilewella JF-Expert Member Sep 30, 2011 20,387 38,657 Feb 29, 2016 #3 Dupe said: Ukawa watakuja kulielezea hili Click to expand... Ugonjwa ni siri kati ya Daktari na Mgonjwa wake. Hata inapobidi kuueleza kwa jamii ni Mwenye kuumwa mwenyewe anapotaka iwe hivyo.
Dupe said: Ukawa watakuja kulielezea hili Click to expand... Ugonjwa ni siri kati ya Daktari na Mgonjwa wake. Hata inapobidi kuueleza kwa jamii ni Mwenye kuumwa mwenyewe anapotaka iwe hivyo.