Maajabu ya madikteta wa Turkmenistan

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Jan 31, 2021
8,475
14,969

Saparmurat Niyazov​

Kuanzia mwaka 1985-2005 Turkmenistan ilikuwa chini ya dikteta Saparmurat Niyazov. Alifanya maajabu haya.

- Alijenga sanamu yake kubwa sana. Sanamu hiyo ilikuwa inazunguka ili muda wote iwe inatazama jua

- Aliandika kitabu, kitabu hicho kiliingizwa kwenye mitaala ya shule, kwenye usaili wa kazi na hata kwenye mafunzo ya udereva

- Alibadilisha majina yashule, miji nk, na kuvipa majina yake na ya familia yake.

- Alibadili majina ya miezi na siku kuwa yake, familia yake, kitabu chake nk.

- Alifunga hospital zote nje ya mjii mkuu, kwamba mtu akiumwa aende mji mkuu

- Alifunga maktaba zote, akisema vitabu vya kusoma ni Quran na alichoandika

- Alijiingiza kwenye wimbo wa taifa

- Piga marufuku mbwa kwenye mji mkuu

- Alikataza ndevu na nywele ndefu kwa wanaume

- Alikataza watangazaji kupaka make up

- Neno mkate akalitoa na kuweka jina la mama yake

Alikufa mwaka 2006 kwa tatizo la moyo. Hapo akaingia kituko mwingine.

Gurbanguly Berdimuhamedow​

Huyu alikuwa Rais toka 2006 hadi 2022 alipomuachia urais kijana wake. Ni daktari wa meno kwa taaluma. Alibadilisha upuuzi mwingi wa mtanngulizi wake, lakini nae akaongeza wake.

-Huyu anapenda sana farasi. Ametengeneza sanamu lake kubwa sana akiwa amepanda farasi. Lipo mji mkuu.
-Aliamuru video inayomuonyesha akianguka na farasi isitolewe.
-Alipiga marufuku magari yasiyo na rangi nyeupe kukanyagamji mkuu.
-Aliamuru majengo yote ya mji mkuu kuwekwa cladding ya vigae vyeupe.
-Ni mwanamuziki wa hiphop
-Vitu vingi amevipa majina ya baba na babu yake.

Ashgabat, mji mkuu wa Turkmenistan

img_021765_2017_1.jpg
 
Aliyeingia naye tupe ..Maajabu yake
 
Umesahau Jiwe alikuwa anatuma chawa wake wakiomba baadhi ya miradi iende kwa jina lake!

Madikteta ni ndugu wa baba mmoja duniani kwote.
Zamani Nilikua najua magoti Ni wanawake tu ndio wanapiga nikaja kujua kumbe Hadi wanaume hua wanapiga magoti wakiwa wanashukuru.

Hapo Ni mbunge wa Kibamba Issa Mtemvu akimshukuru mh. Rais JPM kwa kumpa hekta 52 za ardhi ilivyokua chini ya Wizara ya kilimo na ardhi hio itaenda kufanya shughuli za maendeleo za Kibamba.
Screenshot_20220419-140655.jpg
 
Zamani Nilikua najua magoti Ni wanawake tu ndio wanapiga nikaja kujua kumbe Hadi wanaume hua wanapiga magoti wakiwa wanashukuru.

Hapo Ni mbunge wa Kibamba Issa Mtemvu akimshukuru mh. Rais JPM kwa kumpa hekta 52 za ardhi ilivyokua chini ya Wizara ya kilimo na ardhi hio itaenda kufanya shughuli za maendeleo za Kibamba.View attachment 2192903
😂😂 Huyu kama ni ndugu yangu kwa kweli tungeuvunja aisee!

Hapo sidhani kama mke wake anaweza kumheshimu tena.
 
Saparmurat Niyazov​

Kuanzia mwaka 1985-2005 Turkmenistan ilikuwa chini ya dikteta Saparmurat Niyazov. Alifanya maajabu haya.

- Alijenga sanamu yake kubwa sana. Sanamu hiyo ilikuwa inazunguka ili muda wote iwe inatazama jua

- Aliandika kitabu, kitabu hicho kiliingizwa kwenye mitaala ya shule, kwenye usaili wa kazi na hata kwenye mafunzo ya udereva

- Alibadilisha majina yashule, miji nk, na kuvipa majina yake na ya familia yake.

- Alibadili majina ya miezi na siku kuwa yake, familia yake, kitabu chake nk.

- Alifunga hospital zote nje ya mjii mkuu, kwamba mtu akiumwa aende mji mkuu

- Alifunga maktaba zote, akisema vitabu vya kusoma ni Quran na alichoandika

- Alijiingiza kwenye wimbo wa taifa

- Piga marufuku mbwa kwenye mji mkuu

- Alikataza ndevu na nywele ndefu kwa wanaume

- Alikataza watangazaji kupaka make up

- Neno mkate akalitoa na kuweka jina la mama yake

Alikufa mwaka 2006 kwa tatizo la moyo. Hapo akaingia kituko mwingine.

Gurbanguly Berdimuhamedow​

Huyu alikuwa Rais toka 2006 hadi 2022 alipomuachia urais kijana wake. Ni daktari wa meno kwa taaluma. Alibadilisha upuuzi mwingi wa mtanngulizi wake, lakini nae akaongeza wake.

-Huyu anapenda sana farasi. Ametengeneza sanamu lake kubwa sana akiwa amepanda farasi. Lipo mji mkuu.
-Aliamuru video inayomuonyesha akianguka na farasi isitolewe.
-Alipiga marufuku magari yasiyo na rangi nyeupe kukanyagamji mkuu.
-Aliamuru majengo yote ya mji mkuu kuwekwa cladding ya vigae vyeupe.
-Ni mwanamuziki wa hiphop
-Vitu vingi amevipa majina ya baba na babu yake.

Ashgabat, mji mkuu wa Turkmenistan

View attachment 2192912
NCHI NYINGINE NASOMA HAPA.
 
Mji mkuu wao upo kama UDOM
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom