Exorcist
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 1,235
- 1,268
Inakadiriwa kwamba kiasi cha shillingi bilioni 12 hutumiwa kila mwezi na wa-Tanzania wa kipato cha kati na cha juu kwa ajili ya kuangalia imported movies kutoka Hollywood katika cinama halls mbalimbali hapa jijini. Hii inasikitisha kwa kiwango flani kwani pesa hizi zote zinakwenda nje ili hali tuna Movies (Bongo movies) za hapa ndani ambazo zinazidi kupanda ubora siku hadi siku, hivyo ingefaa sana movie hizi nazo zingeonyeshwa kwenye Cineama halls muone jinsi watu watakavyofurika na madem zao kuziangalia.., hii ingeinua sana uchumi wa industry yetu na uchumi wetu kwa ujumla. Nawasilisha.