Maajabu ya Ayoub Rioba:Televisheni ya Taifa yapigia debe biashara ya zambarau!

iparamasa

JF-Expert Member
Nov 14, 2013
13,437
14,924
Leo katika taarifa ya habari

Ama kweli awamu ya tano imedhibiti habari mpaka waandishi wamechanganyikiwa
 
Korosho imefeli na wamewanyanyasa sana wakulima kwa kuwapangia bei za hovyo

Ma apple, machungwa na Maembe ya Tanga yanaoza hata ile ahadi ya kuwajengea viwanda vya juice imekuwa hewa.

Zambarau anataka akawauzie nani? Labda awapelekee Eskimos huko.
 
Nchi ya v-wonder.
Unawabana na kuwafungia wapinzani halafu haujafanya lolote kuhusu maendeleo
Ccm inaenda kufa. Time will tell
 
Hili ndio zao la biashara la awamu ya tano?
mimi nilidhani unampongeza maana biashara nyingine zote zimeongelewa ktk vipindi tofauti na kero zao na jinsi wanavyojipanga kuzishughulikia zikiwemo korosho,Kahawa etc.

Kwa mara ya kwanza leo nasikia zinajadiliwa fursa za zambarau. Ni kitu kizuri maana miaka yote zambarau zilikuwa kama matunda yasiyo na maana. Pili Ukizungumzia zambarau haimaanishi umeacha kuzungumzia fursa nyingine mkuu, kila kitu na wakati wake. Wakati mwingine negativity hazisaidii sana...
 
Ccm haifi milele inazidi kuimarika
Hata KANU WALISEMA HIVYO HIVYO LKN LEO WAKO WAPI?
SUBIRI WAKATI UFIKE MTAONA WENYEWE
BAADHI YA MALIGHAFI MLIOKUSANYA KUJENGA KABURI LENU
MEFUTA AJIRA ZA WATOTO MASKINI, MEWANYIMA MIKOPO WATOTO WA MASKINI. HAKUNA DEMOKRASIA, MEMINYA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI, MEFUTA POSHO NA KUPUNGUZA MISHAHARA, NO INCREMENT, HAKUNA KUPANDISHWA MADARAJA, MEKULA PESA ZA RAMBI RAMBI (TUKIO LINGINE LA MAAFA LIKITOKEA SIDHANI KM KUNA MTANZANIA MWENYE AKILI TIMAMU ATACHANGIA TENA), MFUMUKO WA BEI UPO JUU KWA UJINGA WENU HASA ISSUE YA SUKARI, PIGA WAMACHINGA KM MBWA MWIZI, MATAMKO YASIYOKUWA NA KICHWA WALA MKIA, KUWASHUTUMU WATU BILA HATIA YYTE, UPENDELEO WA VYEO, UHAKIKI FEKI WA WAFANYAKAZI HEWA HUKU MAKONDA AKIACHWA, MAHAKAMA KUKOSA UFANISI (KUFICHWA KWA FILE LA KESI LA JAMII FORUM), KUKIUKA KATIBA NA SHERIA, KUROPOKA MBELE ZA WATU, KUIBA KURA (ZENJI),KUTOKUWEPO TUME HURU YA UCHAGUZI, KUWATUMIA POLISI KUKAMATA KAMATA OVYO NA HELSB 15%.
HAYA NI BAADHI YA MALIGHAFI AMBAYO MEKUSANYA ILI KUJENGA KABULI LENU. NYIE SUBIRINI TU. SIDHANI KM KUNA MTANZANIA MWENYE AKILI TIMAMU ATAVUMILIA HUU UOZO. NYIE ENDELEENI KUSHUPAZA SHINGO TU. WATANZANIA WA LEI SIYO WALE WA MIAKA 1945 HAWA NI 2017.
Mnawaminisha watu hapa kazi tu wakati mefuta ajira za watoto maskini. Sijui huwa mnavuta bange kwanza ndiyo mnaintriduce slogan yenu? Endeleen kuwaaminisha watanzania kuwa umevaa nguo wakati upo uchi
Kinachowalinda ni JECHALIZATION
 
Mkuu usinivunje mbavu!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…