Amos David Mathias
JF-Expert Member
- Sep 3, 2022
- 1,576
- 3,089
Katika maisha Kuna slow learner na fast learner.Sasa Cha ajabu katika masomo yanayohusisha vitendo vyuo vya afya walimu wanakuwa wakali.Ukiuliza swali kwenye practical badala ya kusaidiwa unasimangwa na mwalimu "Weewe Kila siku huelewi nitarudia kufundisha mara ngapi" hata kama hajawahi kufundisha utaskia hiyo kauli.Usipouliza ukakosea matibabu Kwa mgonjwa utapondwa vile vile pamoja na kufokewa na kutukanwa.
Mtu anatamanj kujua lakini walimu wanaomfundisha ni wakali kupita maelezo.Hawataki ukosee ,hawataki uulize swali kama hujaelewa.
Kuna wengine wameshajiwekea moyoni mwao kwamba "huyu HaweZi kitu".Kadri unavyojitahidi kuuliza maswali na kufanya practical kulingana na wanavyotaka ndivyo unavyozidi kushushuliwa na kuonekana una Kiburi.Muda mwingine unaona Bora uache tu na masomo uwe muuza nyanya kama mtu unatamani ujue lakini walimu wanafurahia kuona anguko lako badala ya kutoa msaada.