Maadui wa Paul Makonda watofautiana

Suala LA mkuu Wa mkoa Wa Dar es salaam Paul Makonda limezua sura Mpya baada ya maadui zake wakubwa kutofautiana has a kuhusu uhalali Wa vyeti vyake vya kidato cha NNE. Wiki chache zilizopita adui yke namba moja Mange kimambi aliibuka na kusema Mkuu wa mkoa wa Dar anatmia jina na cheti cha mtu anayejulikana kwa jina la Paul Christian Kagenzi na kuwa alinunua jina hilo baada ya kufeli mtihan Wa kidato cha nne..adui huyo alizidi kusisitiza na kuuaminisha umma kuwa jina halali LA mkuu huyo wa mkoa ni Daud Albert Bashite na ndo jina lake halali alilopewa na wazaz wake ikiwa ni pamoja na kulitumia katika kuitafta elim kabla ya kufel kidato cha NNE. Kutaka kuuaminisha umma Mange alieleza kuwa hilo jina linatumiwa na mtangazaji wa kituo kimojawapo cha redio mjini mkoan Tabora.

Adui mamba mbili Mchungaji Gwajima ,huyu namuita adui namba mbili ,huyu adui Juma takriban nne zilipita alitumia mathabahu take vibaya kwa kueneza chuki na uongo Wa waumin wake ..adui huyu amekaririwa Mara kadhaa akisema mkuu wa mkoa wa Dsm amefoji vyeti na vyeti anavyotumia pamoja na jina ni la mtu aitwaye Paul kagezi Muyenje na kuzidi kukusitiza kuwa yeye anaitwa Daudi Albert Bashite. Bila kujali kuwa alikuwa anatenda dhambi akaendelea kusema kuwa hata namba ya Dada yake na hyo Paul anayo ikiwa ni pamoja na vyeti vya Bashite..

Adui namba tatu Balile (jamhuhuri) huyu nampa hiyo namba kwa kuwa katika gazeti lake la tarehe 21/22 march alieleza zaid ya kurasa Nana kuhusu habari ya Bashite lakin cha kushangaza alitofautiana na maadui wengine kwa kufika Pamba Sekondari na kutokuta jina la Daud Albert Bashite tofuti na adui wa Pili alivyokuwa ametuaminisha kwa kuja na matokeo feki kutoka Pamba.
Lakini pia adui huyu alipomhoji Paul christian alikiri kuwa hana dada na yey alipata division three ya point 25 kama tulivyokuwa tumeaminishwa na mchingaji Gwajima.

Adui wa NNE Mh. Nyepesi huyu namuita adui maana naye amelivalia njuga suala la bashite ikiwa ni pamoja na kutumia mda mwingi kufuatilia suala hilo kuliko suala la wapiga kura wake walikatiwa maji toka juzi. Huyu naye kaenda Nectar hakukuta jina la Bashite wa Paul Makonda.
Tumuamin nan??nawasilisha
Unamuongelea Daudi Albert Bashite yule aliyefeli darasa la nne, darasa la saba na kupata alama F kwenye masomo yote kidato cha nne kisha kununua cheti na kubadilisha jina na kujiita Paul Makonda?
 
Hivi Gwajima ni mchungaji?na

Kama ni mchungaji;
Mbona hana busara kama wachungaji wengine au mpiga dili tu?
Naombeni ndugu munijibu Tafadhali
Na wewe unamtetea Daudi Albert Bashite yule anayejiita Paul Makonda? Yule ambaye hana vyeti kama watumishi wengine wa serikali? Naomba unijibu tafadhali!
 
Acha upuuzi! Bashite hana cheti halali cha kuonesha! Angekuwa nacho angeshakionesha! Kila mtu anajua hivyo ikiwa ni pamoja na mwajiri wake! Ndiyo maana siku hizi kudai vyeti mwisho chalinze, mjini ni kujifanya hapa kazi tu!
 
Hili andiko lako umeliandika kibaguzi na kishabiki, kuna watu umewataja majina na wengine umeishia kurukaruka hata haueleweki Mhe. Nyepesi ndio kitu gani? kama una jiamini na andiko lako na hausemi uongo hapa weka kila kitu wazi tukuone!
 
Suala LA mkuu Wa mkoa Wa Dar es salaam Paul Makonda limezua sura Mpya baada ya maadui zake wakubwa kutofautiana has a kuhusu uhalali Wa vyeti vyake vya kidato cha NNE. Wiki chache zilizopita adui yke namba moja Mange kimambi aliibuka na kusema Mkuu wa mkoa wa Dar anatmia jina na cheti cha mtu anayejulikana kwa jina la Paul Christian Kagenzi na kuwa alinunua jina hilo baada ya kufeli mtihan Wa kidato cha nne..adui huyo alizidi kusisitiza na kuuaminisha umma kuwa jina halali LA mkuu huyo wa mkoa ni Daud Albert Bashite na ndo jina lake halali alilopewa na wazaz wake ikiwa ni pamoja na kulitumia katika kuitafta elim kabla ya kufel kidato cha NNE. Kutaka kuuaminisha umma Mange alieleza kuwa hilo jina linatumiwa na mtangazaji wa kituo kimojawapo cha redio mjini mkoan Tabora.

Adui mamba mbili Mchungaji Gwajima ,huyu namuita adui namba mbili ,huyu adui Juma takriban nne zilipita alitumia mathabahu take vibaya kwa kueneza chuki na uongo Wa waumin wake ..adui huyu amekaririwa Mara kadhaa akisema mkuu wa mkoa wa Dsm amefoji vyeti na vyeti anavyotumia pamoja na jina ni la mtu aitwaye Paul kagezi Muyenje na kuzidi kukusitiza kuwa yeye anaitwa Daudi Albert Bashite. Bila kujali kuwa alikuwa anatenda dhambi akaendelea kusema kuwa hata namba ya Dada yake na hyo Paul anayo ikiwa ni pamoja na vyeti vya Bashite..

Adui namba tatu Balile (jamhuhuri) huyu nampa hiyo namba kwa kuwa katika gazeti lake la tarehe 21/22 march alieleza zaid ya kurasa Nana kuhusu habari ya Bashite lakin cha kushangaza alitofautiana na maadui wengine kwa kufika Pamba Sekondari na kutokuta jina la Daud Albert Bashite tofuti na adui wa Pili alivyokuwa ametuaminisha kwa kuja na matokeo feki kutoka Pamba.
Lakini pia adui huyu alipomhoji Paul christian alikiri kuwa hana dada na yey alipata division three ya point 25 kama tulivyokuwa tumeaminishwa na mchingaji Gwajima.

Adui wa NNE Mh. Nyepesi huyu namuita adui maana naye amelivalia njuga suala la bashite ikiwa ni pamoja na kutumia mda mwingi kufuatilia suala hilo kuliko suala la wapiga kura wake walikatiwa maji toka juzi. Huyu naye kaenda Nectar hakukuta jina la Bashite wa Paul Makonda.
Tumuamin nan??nawasilisha

Hili andiko lako umeliandika kibaguzi na kishabiki, kuna watu umewataja kwa majina na wengine umeishia kurukaruka hata haueleweki Mhe. Nyepesi na Jamhuhuri ndio kitu gani? kama una jiamini na andiko lako na hausemi UONGO weka kila kitu wazi tukuone!
 
Nilikuwa mwanafunzi Pamba sekondari Huyo Badhite a.k.a Makonda akiwa anasoma evening class.Jamani alishindwa kabisa mtihani wa form four.
 
Mange alienda chaka

Gwajima ni Muongo

Jamhuri wamefanya utafiti mzuri mnoo

My Take:
Jamaa hata form four hakumaliza, Necta hawawezi kuwa na data zake
 
Suala LA mkuu Wa mkoa Wa Dar es salaam Paul Makonda limezua sura Mpya baada ya maadui zake wakubwa kutofautiana has a kuhusu uhalali Wa vyeti vyake vya kidato cha NNE. Wiki chache zilizopita adui yke namba moja Mange kimambi aliibuka na kusema Mkuu wa mkoa wa Dar anatmia jina na cheti cha mtu anayejulikana kwa jina la Paul Christian Kagenzi na kuwa alinunua jina hilo baada ya kufeli mtihan Wa kidato cha nne..adui huyo alizidi kusisitiza na kuuaminisha umma kuwa jina halali LA mkuu huyo wa mkoa ni Daud Albert Bashite na ndo jina lake halali alilopewa na wazaz wake ikiwa ni pamoja na kulitumia katika kuitafta elim kabla ya kufel kidato cha NNE. Kutaka kuuaminisha umma Mange alieleza kuwa hilo jina linatumiwa na mtangazaji wa kituo kimojawapo cha redio mjini mkoan Tabora.

Adui mamba mbili Mchungaji Gwajima ,huyu namuita adui namba mbili ,huyu adui Juma takriban nne zilipita alitumia mathabahu take vibaya kwa kueneza chuki na uongo Wa waumin wake ..adui huyu amekaririwa Mara kadhaa akisema mkuu wa mkoa wa Dsm amefoji vyeti na vyeti anavyotumia pamoja na jina ni la mtu aitwaye Paul kagezi Muyenje na kuzidi kukusitiza kuwa yeye anaitwa Daudi Albert Bashite. Bila kujali kuwa alikuwa anatenda dhambi akaendelea kusema kuwa hata namba ya Dada yake na hyo Paul anayo ikiwa ni pamoja na vyeti vya Bashite..

Adui namba tatu Balile (jamhuhuri) huyu nampa hiyo namba kwa kuwa katika gazeti lake la tarehe 21/22 march alieleza zaid ya kurasa Nana kuhusu habari ya Bashite lakin cha kushangaza alitofautiana na maadui wengine kwa kufika Pamba Sekondari na kutokuta jina la Daud Albert Bashite tofuti na adui wa Pili alivyokuwa ametuaminisha kwa kuja na matokeo feki kutoka Pamba.
Lakini pia adui huyu alipomhoji Paul christian alikiri kuwa hana dada na yey alipata division three ya point 25 kama tulivyokuwa tumeaminishwa na mchingaji Gwajima.

Adui wa NNE Mh. Nyepesi huyu namuita adui maana naye amelivalia njuga suala la bashite ikiwa ni pamoja na kutumia mda mwingi kufuatilia suala hilo kuliko suala la wapiga kura wake walikatiwa maji toka juzi. Huyu naye kaenda Nectar hakukuta jina la Bashite wa Paul Makonda.
Tumuamin nan??nawasilisha
Kuumtaja kuwa MAKONDA kagushi vyeti tayr amekua adui..... Wewe nahisi haunazo
 
HAO WOTE TUWAITE WAONGO NA MAADUI, Sasa basi Muhusika anayo nafasi ya kuweka Mambo sawa ili huo mjadala ufungwe.
 
Hii sakata kuna mmoja lazima abaki uchi kwa aibu Gwajima ni sawa na mwanamke anaetaka kuona uchi wa mwanaume ili hali yeye kavaa cha msingi vua na wewe wote tuwe uchi watu wanataka vyeti vya Makonda wakati vyao wamefungia kwenye makabati
Wamefungia kabatini lakini wananvyo na havijatakiwa..wakitakiwa wavitoe kwa majina yao sahihi sio ID feki za JF nauhakika wanavyo. Msaidie tu Mh. Daudi alete vyeti awe wazi na ajiondoe katika lawama hizi na maneno ya hovyo.
 
Back
Top Bottom