Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 26,571
- 48,708
my msure baby how are you?Hiyo ya uzungu na uswahili huwa siielewi kabisa.
Huwa naiona ni ulimbukeni na ujinga fulani hivi.
Kwa sababu tabia za kishenzi hazijalishi rangi ya ngozi lakini huku kwenye jamii yetu tunazihusisha tabia za kistaarabu na uzungu na zile za kishenzi na uswahili.
Ni jamii ya ajabu sana sisi.