M-PESA & Tigo-PESA Integration

Software Engineer

JF-Expert Member
Dec 20, 2014
344
137
Wadau tuna app ambayo mtu anaweza kununua kitu kisha kufanya malipo kwa M-PESA au Tigo-PESA.

Tunataka "Web Application Server" yetu iwe na uwezo wa kupokea notification zenye details za malipo (M-PESA & Tigo-PESA) kutoka kw Mobile Money Service Provider (e.g. Tigo,Voda, etc) pindi mteja wetu anapofanya malipo kupitia(USSD service ya) simu yake.

Naomba kufahamu
1. Gharama
2. Procedures kulingana na operator
3. Requirements kulingana na operator

za kufanya integration ya kupokea notification za malipo kutoka kwa mobile operator kwenda kwenye (3rd party) web app server.

Shukrani
 
Hizo ofisi za Tigo na Vodacom si zipo wazi kuanzia 2 hasubui mpaka 11 jioni kila siku, you must not be serious
 
Hizo ofisi za Tigo na Vodacom si zipo wazi kuanzia 2 hasubui mpaka 11 jioni kila siku, you must not be serious

Hapa tunauliza (technical) details za jinsi hii integration inavyofanyika. Tukishapata hizi details zitasaidia sisi kukamilisha development ya software yetu kabla ya kwenda kwa hao mobile operators.

Ukienda kwa mobile operator inakuwa ni hatua ya mwisho tuu. Uko hapo kijana?
 
Hata wao wanazo hizo technical details!!!! Use your common sense!
 
RAFIKI HEBU TUMIA LUGHA MOJA IWE KIINGEREZA AMA KISHWAHILI
 
s
Mbona una panic?

Weka hizo details basi, ili tusipoteze muda kwenda kwenye hizo ofisi za operators.

Software developers wapo serious ndugu, yani naona kama unafanya masihara tu hapa. How can you rely on online information kwenye vitu serious vinavyochukuwa mda, concentration & creativity? are you SERIOUS? naona kama unafanya masihara!
 
Tigo pesa wameshatoa API kwa ajili ya Third party integration Tigo Pesa for Developers | Tigo Tanzania
Kwa vodacom m-pesa bado sijajua
pia unaweza kutafuta mobile money payment gateway kama pesapal(www.pesapal.com),DirectPay(Africa's #1 Online Payment Service Solutions - Direct Pay Online hii pia wasafi dot com wametumia),etc
 
s

Software developers wapo serious ndugu, yani naona kama unafanya masihara tu hapa. How can you rely on online information kwenye vitu serious vinavyochukuwa mda, concentration & creativity? are you SERIOUS? naona kama unafanya masihara!

Hapa JF watu wana information nyingi sana kuliko unavyoweza kufikiria. Wapo wenye experience na kitu kama hiki nilichouliza.

Hapa nahitaji kupata ABC tuu za hii integration inavyofanyika, ili ninapokwenda kwa operator nakuwa nimekamilisha kila kitu.
 
https://www.tigo.co.tz/tigo_partner_integration_api_details.pdf
 
Mkuu hapo itakubidi uonane na hao operators tu hakuna budi, itabidi utengeze kama sample program, ili utakapoenda kwao uwaoneshe vipi itafanya kazi, wao wakikubali watakupatia API ya kumaliza shida yako.
 
App nimeshatengeza.

Nataka nitengeneze module ya kupokea notification za malipo kutoka kwa kila operator, hapa inabidi niwe na details za API + data(XML/JSON) zinazotumwa na operators ili niweze kukamilisha mchezo mzima.

Nimesikia operators wengi wanatumia PUSH mode,ambayo app yangu inatakiwa iwe na callback ya kupokea posted data kutoka kwa operator. Operator anapush xml data, then app yangu inapokea na ku-parse, etc

Nilikuwa nataka kupata experience kutoka kwa wadau walikwishatumia au fanya hii integration.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…