Lugha ya kiingereza ina mahusiano makubwa na ugonjwa wa presha

Leo nimetembelewa na mzungu ofisini,nilikuwa na jamaa zangu ghafla nikaona pumzi inaniishia ,na maneno yangu niliyojifunza form six pale tambaza yanakuwa machache sana,jasho lilikuwa likinitoka na miguu kutetemeka.midomo yangu ilikuwa mizito na ,the the the kwa idadi zilifika hata mia tano kwa muda mchache.kweli kiingereza ni tishio sana kwangu
Inasemekana wanaokuja kwanza kabla ya kutumbuliwa ni wazungu
Isije yalitaka kukuta?
 
Back
Top Bottom