Andrew0079
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 261
- 142
KUMBE HII MAHAKAMA IMEJENGWA KWA AJIRI YA LOWASSA????KWEL NYIE WASHAMBA SANA KAMA MNA IYO DHANA ?? ACHA USHAMBA NYIE NANI KASEMA LOWASSA NI FISAD????
Uzuri wa swali ni upi kwa mtu kipofu?Swali zuri,ngoja waje
hao waliomsimamisha ndio wakenya waliompigia kura hamna ajabu hapo
Atakimbia nchi!Ngoja mahakama ianze kazi
Kwa sms yenu yakuchonga?Atakimbia nchi!
Ndio maana Mnyika ataka akamatwe haraka!
Nyimbo iliyokosa wachezaji hiyoFisadi lowasa
kesi ya lowasa inaanza kusikilizwa mwezi huu mkuuWanaweza kukaa mwaka mzima hawana kesi hata moja
Ipi hiyo ?Kuna thread nimeweka nenda kajibu yale maswali kule hatuitaji porojo huku
Shuka kwenye gari ya mwendokasi utaiyonaIpi hiyo ?
List of shame ya chademaKUMBE HII MAHAKAMA IMEJENGWA KWA AJIRI YA LOWASSA????KWEL NYIE WASHAMBA SANA KAMA MNA IYO DHANA ?? ACHA USHAMBA NYIE NANI KASEMA LOWASSA NI FISAD????