Lowassa akiongozana na Meya wa Jiji la Arusha wamtembelea Lema gerezani Kisongo

Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu Chadema Taifa Mhe.Edward Ngoyai Lowassa akiwa ameongozana na Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha Mhe.Kalist Lazaro na Bob Lowassa,wamemtembelea Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mhe.Godbless Lema aliyeko Gereza Kuu Arusha (Kisongo).

View attachment 452463
Nasikia Lema hataki tena rufaa wala rufani anataka kukaa hukohuko hadi 2020
 
Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu Chadema Taifa Mhe.Edward Ngoyai Lowassa akiwa ameongozana na Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha Mhe.Kalist Lazaro na Bob Lowassa,wamemtembelea Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mhe.Godbless Lema aliyeko Gereza Kuu Arusha (Kisongo).

View attachment 452463
Sasa hiyo picha ndo kisongo hapo?? Nyumbu bhana!!
 
Mh. mtunga sheria Lema alisema "Lowasa sio waziri mkuu mstaafu, bali ni waziri mkuu aliye shinikizwa kujiuzulu kwa kashifa ya ufisadi papa".
Nyumbu zimesahau mkuu,yaani akili ya nyumba ni bora ya nzi
 
Gerezani kwa kuota ndoto mbaya!

Anayejidai kua mtanzania ana matatizo kichwani.
 
Back
Top Bottom