Sidhani kama Serikali inaweza kufungia JF. Serikali inapaswa kuandaa Tuzo maalum ili JF ipewe kutokana na kuibua mipango mingi miovuMtoa mada acha mambo yako buana. Utasababisha serikali iifungie JF kwa hizi cooked story na za uchochezi, harafu wote tunaotumia huu mtandao tuonekane hatuna maana.
bora nyumbu siyo waonevu kuliko kenge na mafisiKama Kawaidaa Kama Dawa.Fisadi Lowassa Atanunua Nyumbu Weee Lakini Haitatokea Kuwa Rais Wa Nchi Yoyote Duniani.Agombee Uwenyekiti Wa Chaggadema Tu.
Ni kweli Mkuu. Hakika anajisumbua sana. Tena kwa vile tayari tumeujua mkakati huu hakika hakuna litakalofanikiwaMkakati huu ni Wa siku nyingi na unafahamika. Anajisimbua tu na hatofanikiwa kamwe. Amuulize maalim Seif kama amefanikiwa au LA.
Mkuu, hakika huwezi kuona moja kwa moja athari za mada ninazoweka kwa Lowasa. Mwenyewe anajuamkwa vile taarifa ninazoweka humu zinazomhusu zinakuwa na ukweli kwa zaidi ya asilimia 90Lizaboni lowassa akutafute ww ili iwejee? Mbona mm nakutosha humu JF, acha upunguani wa kutafuta umaarufu humu JF
Mtasema sana. Ila Makonda anabaki kuwa Makonda na Lizaboni anabaki kuwa Lizaboni. Wenzako walihangaika sana lakini wamechemshaKama ni yeye mwambie Meya wa Kinondoni anamtosha kabisa. Badala ya kufanya kazi aliyopewa usiku mzima anautumia kutunga tunga uzushi wake na kuuleta JF. Huyu arudishwe kile kitengo chake cha chipukizi huku hakumfai.
Unajua majina mengine yanareflect uhalisia wa tabia ya mtu. Kweli wewe ni IbilisiNakumbuka ulikuja na post eti lowasaa kaandaa makomandoo toka israel kwa ajili ya uchaguzi, leo umekuja na post ya kutaka umaarufu, kwa taarifa yako tunajua unataka kick yakutokeaa, mshamba kweli ww
Ujue hivi vyeo vya kuteuliwa kwa kulamba viatu vya wakubwa ni tabu sana. Wamezoea maisha ya kujikombakomba. Lakini kwa kua uwezo wake wa kufikiria umeishia hapo mi naona tumsamehe tu.HUU ni UCHOCHOZE 100% Sitaki kuamini TCRA au Jeshi la Polisi ni wazembe hivi kukuachia wewe kuendelea kutamba humu na bila kukukamata ili ukalisaidie jeshi la polisi kwenye kufanya huo uchunguzi,
Otherwise Moderators na wamili wa JF ni kama kawaida wanendeleza mambo yaleyale.
CC Invisible @Moderators
Sana,,huyu ni wakukamatwa aisee,,kwaiyo tcra na jeshi la police wanafanya kazi kwa shinikizo la Lowasa,, kuwakamata six telecom na kuvifungia Vituo vya TV na redio ni shinikizo la MTU ,,duhHUU ni UCHOCHOZE 100% Sitaki kuamini TCRA au Jeshi la Polisi ni wazembe hivi kukuachia wewe kuendelea kutamba humu na bila kukukamata ili ukalisaidie jeshi la polisi kwenye kufanya huo uchunguzi,
Otherwise Moderators na wamili wa JF ni kama kawaida wanendeleza mambo yaleyale.
CC Invisible @Moderators