Tangu zamani Zanzibar wana hati yao ya kusafiria, kuna Mzanzibar mmoja tulipata nae safar ya China ya Chama lakin hakuwa na Hati ya kusafiria akashauriwa afanyiwe mipango ya badala ya dharura ili aweze kujumuishwa akashauriwa alete picha zake na cheti cha kuzaliwa alitujibu kuwa kuliko kutumia Pasi ya Tanzania ni bora akose safari lakin bahati nzuri alipata ya znz