Lissu: TUCTA ndiye adui wa kwanza wa wafanyakazi kutokana na kushindwa kusimamia haki

kinachomuuma lisu ni wivu, president kaonana na tucta kagoma kuonana na TLS. kizuri kinajiuza kibaya kinajitembeza
 
kinachomuuma lisu ni wivu, president kaonana na tucta kagoma kuonana na TLS. kizuri kinajiuza kibaya kinajitembeza

Hahahhahahahahh WIVU upi rafiki??Kinachotakiwa ni TUCTA kutetea wafanyakazi au??
 
chadema wanatutukania shirikisho letu, tutafanya maazimio yetu kimyakimya wasubirie waone multiplying effects

Hahhahahahahahah mlishindwa kumyima KURA aliyewaambia hahitaji KURA zenu mtawaweza wanaowatetea wafanyakazi??
 
Jana Uhuru Kenyatta sio mtu wa bla bla.. kapandisha mshahara 18% na kuna kodi zimeondolewa kwa wafanyakazi wa Kenya

Sisi kila hela tunayookoa kutoka kwenye kubana mianya ya wizi tunafikiria kuendeleza vitu badala ya watu. Tutajenga fly-overs, standard gauges, airports, kununua dear-bombers za kutosha, towers etc huku wafanyakazi na wakulima wetu wakilia njaa na wakiteswa na mfumuko wa bei. Aliyesema "kupanga ni kuchagua" hakukosea.
 
chadema wanatutukania shirikisho letu, tutafanya maazimio yetu kimyakimya wasubirie waone multiplying effects

Mmeshafanya maazimio yapi ya kimyakimya baada ya kuongezewa up to 15% loan board na tishio la "majambazi" 9,600 walioambiwa wawe wamepotea by 15th May?
 
kinachomuuma lisu ni wivu, president kaonana na tucta kagoma kuonana na TLS. kizuri kinajiuza kibaya kinajitembeza
Wivu gani kwani kuna jipya kati ya Kipara wa chato n huyu wa sasa? LISSU hana wivu n mshamba wa madaraka
 
Back
Top Bottom