Lissu na Zitto wamtaka Rais Magufuli amng'oe Mwanasheria Mkuu

Tundu lissu ni mnafiki na aache kudandia hoja za Zitto.
Ukawa wote wamefulia ktk hoja, sasa ebu ona hoja ya ukawa iloletwa na mbunge wa ukawa KUBENEA?? Hovyo!
 
We nawe shipa jamaa...kuungana na kusimamia hoja kwa pamoja ni double standards? Umenitoa mood ya kuchangia hili jambo.
kama hujui kiinglishi tumia hata ishara au picha! Au ndoile wanayosema kiswahili hatukipendi kiingereza hatukijui.

Hata mimi sjamuelewa eti "double standard"!!!!!
 
Niliskitika baada ya kuona waziri anakuja na kusema kuwa anaiondoa hoja,
Hapo ndo unapima umakini wa serikaliii hii
 
Sasa sio kila bunge wawe wanasubiri kichwa cha zitto kilete hoja, huu ni uthibitisho kuwa zitto ni zaidi ya ukawa!

haya...

sasa? serikali jumatatu italeta huo mpango wa maendeleo wa miaka mitano ili wabunge wa u-discuss na kutungiwa sheria?
 
haya...

sasa? serikali jumatatu italeta huo mpango wa maendeleo wa miaka mitano ili wabunge wa u-discuss na kutungiwa sheria?
Mpango huo utakuwa na walakini, siku mbili hazitoshi kutengeneza mpango wenye uzito wa miaka 5, hata mwaka mmoja, nadhani hizo siku hazitoshi, hivyo madhani uta-bounce tena!
 
Mpango huo utakuwa na walakini, siku mbili hazitoshi kutengeneza mpango wenye uzito wa miaka 5, hata mwaka mmoja, nadhani hizo siku hazitoshi, hivyo madhani uta-bounce tena!

Thank you barafuyamoto...

Waziri na mwanasheria mkuu wamechemsha. Mwenyekiti wa bunge alitaka kufunika kombe mwanaharamu apite. Sasa barafuyamoto, nini maana ya 'hapa kazi tu'?

Lissu na Zitto wako right, hawa watu hawatufai, you see barafuyamoto, it doesnt matter whether hoja ni ya zito au ya lisu, ukweli ni kwamba, waziri, mwanasheria mkuu, na hata mwenyekiti wa bunge, wote ni majanga tu kwa uhai wa ili taifa.
 
..Dr.Tulia alitakiwa alione tatizo hili.

..kwenye interview yake alisema amebobea kwenye masuala ya bunge na katiba.

..sasa nadhani watu wataelewa kwamba bungeni unatakiwa uwe sharp, halafu uwe na busara.

cc MsemajiUkweli, Pasco
 
Wewe unadhani like lilokuwa linatokea no jambo dogo? Ule ulikuwa uvunjifu wa katiba na ndio maana serikali baada ya kugundua kuwa imeumbuliwa haikuchukua hata masaa ikaja kasi na kuondoa huwo walioita mpango.
Elewa kuwa kuvunja katiba ni kosa kubwa sana kwa mtendaji wa kisiasa na stahili yake ni kujiuzulu au kufukuzwa kama hajiuzulu. Kisiasa hilo ni kosa la pili kwa ukubwa likitanguliwa na uhaini.
Hivi kama jana wabunge wa upinzani wangekuwa wametoka hili jambo si lingeendelea bila kujulikana
Mwambie mbowe ajiuzulu,mpaka leo hakuna katibu muda wa kikatiba umepita
 
Wewe unadhani like lilokuwa linatokea no jambo dogo? Ule ulikuwa uvunjifu wa katiba na ndio maana serikali baada ya kugundua kuwa imeumbuliwa haikuchukua hata masaa ikaja kasi na kuondoa huwo walioita mpango.
Elewa kuwa kuvunja katiba ni kosa kubwa sana kwa mtendaji wa kisiasa na stahili yake ni kujiuzulu au kufukuzwa kama hajiuzulu. Kisiasa hilo ni kosa la pili kwa ukubwa likitanguliwa na uhaini.
Hivi kama jana wabunge wa upinzani wangekuwa wametoka hili jambo si lingeendelea bila kujulikana
Walimshindwa pinda ndo watamweza huyo.makelele tu
 
wako sahihi sana. kama tunafuata utawala bora mwanasheria mkuu wa serikali pamoja na waziri wa sheria na katiba waachie ngazi.ule upuuzi wa jana wasingekuwa wabunge wa upinzani ulikuwa unapita....
 
Back
Top Bottom