Mkwaju Ngedere
JF-Expert Member
- Oct 15, 2016
- 1,046
- 874
TL kajisaidie ulale naona UMECHOKA, maana sasa umekuwa kama KUNGURU ,Mara IDANDIE TAWI HILI MARA LILE!
Ameandika tena Lissu
"....Wajameni habari za usiku.
Wakati Jemedari Magufuli ameahidi juzi kuwa sheria za madini zitarekebishwa kufuatana na mapendekezo ya Kamati ya Prof. Osoro, leo serikali imewasilisha bungeni Muswada wa Sheria ya Fedha, 2017.
Muswada huo unapendekeza marekebisho ya sheria mbali mbali za kodi pamoja na Sheria ya Madini, 2010.
Kuhusiana na Sheria ya Madini, serikali hii inayotaka kulinda rasilmali zetu zisiibiwe tena na wezi wa kimataifa, inapendekeza kuweka kodi mpya kwa makampuni ya madini.
Kodi hiyo inaitwa 'ada ya ukaguzi' (inspection fee) ambayo itakuwa sawa na 1% ya thamani mauzo (gross value) ya madini husika nje ya nchi.
Kwa hiyo, baada ya kelele zote za wazalendo mamboleo hawa, hayo ndiyo marekebisho pekee wanayopendekeza kwenye Sheria ya Madini ambayo imepigiwa kelele ya kufa mtu kwa kutusababishia hasara ya matrilioni ya faranga.
Need I say more???...."
Tundu Lissu
Kwa hiyo Inspection fee alitaka iwe asilimia 50%???Ameandika tena Lissu

Kama za kwako zilivyo sawa na jina lako. Hujaelewa kitu hapo, hajalalamikia hiyo inspection fees kwamba ni ndogo. Soma tena uelewe, usisome ili ukimbilie kujibu.Kwa hiyo Inspection fee alitaka iwe asilimia 50%???
Kweli fikra zake ni sawa na jina lake
Wew si lzma utupie maoni kwa lisu pia..ungepita tuuHivi ni lazima Tundu Lissu uzungumzie kila kitu ?
- Kila unachoona hakipiti hivi hivi, lazima utupie maoni, daaah ?
Link Lissu: Si mara ya kwanza tunaahidiwa kuwekewa mikataba wazi. Kumuunga mkono Rais si lazima...Ameandika tena Lissu
"....Wajameni habari za usiku.
Wakati Jemedari Magufuli ameahidi juzi kuwa sheria za madini zitarekebishwa kufuatana na mapendekezo ya Kamati ya Prof. Osoro, leo serikali imewasilisha bungeni Muswada wa Sheria ya Fedha, 2017.
Muswada huo unapendekeza marekebisho ya sheria mbali mbali za kodi pamoja na Sheria ya Madini, 2010.
Kuhusiana na Sheria ya Madini, serikali hii inayotaka kulinda rasilmali zetu zisiibiwe tena na wezi wa kimataifa, inapendekeza kuweka kodi mpya kwa makampuni ya madini.
Kodi hiyo inaitwa 'ada ya ukaguzi' (inspection fee) ambayo itakuwa sawa na 1% ya thamani mauzo (gross value) ya madini husika nje ya nchi.
Kwa hiyo, baada ya kelele zote za wazalendo mamboleo hawa, hayo ndiyo marekebisho pekee wanayopendekeza kwenye Sheria ya Madini ambayo imepigiwa kelele ya kufa mtu kwa kutusababishia hasara ya matrilioni ya faranga.
Need I say more???...."
Tundu Lissu
that's All? Anyway, you have done your part! Sasa unaweza kukaa kimya na hakuna atakayekulaumu!Ameandika tena Lissu
"....Wajameni habari za usiku.
Wakati Jemedari Magufuli ameahidi juzi kuwa sheria za madini zitarekebishwa kufuatana na mapendekezo ya Kamati ya Prof. Osoro, leo serikali imewasilisha bungeni Muswada wa Sheria ya Fedha, 2017.
Muswada huo unapendekeza marekebisho ya sheria mbali mbali za kodi pamoja na Sheria ya Madini, 2010.
Kuhusiana na Sheria ya Madini, serikali hii inayotaka kulinda rasilmali zetu zisiibiwe tena na wezi wa kimataifa, inapendekeza kuweka kodi mpya kwa makampuni ya madini.
Kodi hiyo inaitwa 'ada ya ukaguzi' (inspection fee) ambayo itakuwa sawa na 1% ya thamani mauzo (gross value) ya madini husika nje ya nchi.
Kwa hiyo, baada ya kelele zote za wazalendo mamboleo hawa, hayo ndiyo marekebisho pekee wanayopendekeza kwenye Sheria ya Madini ambayo imepigiwa kelele ya kufa mtu kwa kutusababishia hasara ya matrilioni ya faranga.
Need I say more???...."
Tundu Lissu
Very true! Kama povu lote lile lilikuwa ni kuongeza tu ada ya ukaguzi, basi 'fulani' naye kavuta chake. Yawezekana ya makinikia ya Acacia/Barick tusiyasikie tena.Inawezekana fulani nae anavuta mpunga kimya kimya huku anatuzuga.
Hii kitu ilikuwa ni ya wakati wa bajeti. TL amechemsha ripoti imetoka baada ya bajetiTulijua tangu mwanzo kuwa ni kick za kisiasa zaidi kuliko hiyo mikataba. Kama walioidhinisha mambo hayo hawatakiwi hata kutajwa majina. Kelele za nini sasa?!!
Tusubiri labda huruma ya barick
Umejua kusoma, hujajua kelewa na umekurupuka kutafsiri.Mbona leo huyu mwanasheria nguli msomi anaandika kinyonge sana?
Asilimia Moja (1%) sasa tutakuwa matajiri..na sisi tutaanza kutoa misaada.
Ingekuwa enzi zile ningekutunia mama yako ikuume ukome kutona watumwa wako.Mkuu BAKOI umetumwa na Tundu Lissu kuleta hoja hizo au ni za kwako!
Kwa vyovyote vike niissu atajenga hoja za kisomi, au amezaliwa na kulelewa kwa ubishi tu wa kitoto.
Humu JF unatwambia tufanye nini wakati yeye wananchi wamemchagua kuwawakilisha kwenye chombo cha kutunga sheria!
Tunahitaji mapendekezo yake ayawasilishe huko bungeni na siyo malalamishi na lawama zake, kila kukicha.
Kwani anaye table hiyo bajeti ni serikali ya museveni?Hii kitu ilikuwa ni ya wakati wa bajeti. TL amechemsha ripoti imetoka baada ya bajeti