Developer IOS
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 1,456
- 1,409
Tunaona ni jinsi gani cdm wanavyokiuka sheria ya vyama vingi isiyoruhusu chama kimoja kuingilia maswala ya chama kingine kwa kuwatumia baadhi ya wabunge wasio na uzalendo na cuf kwa kutaka kukinajisi chama cha cuf chama kilichosifika kwa kutetea haki kukaa meza moja na fisadi lowassa kitu kinachowasuta wanamapinduzi wa kweli kama prof ibrahim Lipumba.
Wanataka kukinajisi cuf ili nayo iwe ya kupinga maendelea na kazi nzuri anayoifanya mh Rais wa JMT mh John Pombe Magufuli na kufanya cuf nayo wawe wanafiki kitu ambacho wazalendo wa nchi hii kama lipumba hawawezi kukubali na hiyo siyo msingi ya ujenzi wa cuf iliyo imara.Cdm wanalengo la kuimaliza cuf kwa mwamvuli wa ukawa ili ruzuku yao iongezeke.Wanajua cuf wakisimama wenyewe cdm itapoteza wabunge wengi sana.
Mwisho prof lipumba kuanza upya sio ujinga fukuza mapandikizi yote ya cdm cuf na kuanza kukisuka chama upya sio ujinga nina imani na cuf ya lipumba naamini cuf itakuja kuwa chama kikubwa cha upinzani