Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 14,998
- 31,289
Nawasalimu kwa jina la Jamii ya Wapenda Sports hasa mchezo wa football. Tukiwa tunaelekea kumaliza mwaka wa 2023. Kama jamii ya Wapenda michezo hasa mpira wa miguu, Kwenu Wapenda football lipi limekuwa jukwaa bora la football? Namaanisha jukwaa ambalo limekuwa na uchambuzi mzuri wa mpira wa miguu, taarifa za mpira wa miguu na jukwaa linaripoti taarifa za mpira wa miguu kwa wekeni bila kutumia lugha ya kuudhi na maneno yenye kukera?
Nazungumzia taarifa za majukwaa ya timu za Uingereza yaliyomo humu.
Kwako lipi limekuwa jukwaa bora ?
1. Arsenal (The Gunners)
Special thread
2. Chelsea (The Blues) Special thread
3. Liverpool (The Reds) Special thread
4. Manchester City ( Cytzens) Special thread
5. Manchester United ( Red Devils) Special thread
6. Real Madrid (Los Blancos) Special thread
7. Barcelona CF (Blaugrana or Barca) Special thread
Nawaomba Moderators muweke katika mfumo wa Polls wana Michezo wa cast polls zao.
Nawasilisha