Licha ya kupigia upatu ushoga, mmiliki wa Facebook ana mke na mtoto

barafu

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
6,739
32,866


Mark Zuckerberg ambaye ni mmiliki wa Facebook na raia wa Marekani mwenye asili ya Uisrael,amekuwa akipigia sana upatu ndoa za jinsia moja na kutaka zihalalishwe na mashoga wapewe haki yao kama binadamu wengine.Mark alienda mbali mpaka akawa anatoa msaada wa kifedha kwa wanaharakati ambao wanatetea ndoa za jinsia moja na haki za mashoga dunianu.

Ungefikiri kuwa kwakuwa jamaa ni "championi" wa mapenzi ya jinsia moja basi na yeye angeacha kuoa na kutafuta mtu wa jinsia yake na kuishi nae ndani.Mark ameoa na hivi karibuni amebahatika kupata mtoto na kumpa jina la Max ,mtoto huyo amepatikana baada ya Mark kuwa ana mke na wanakutana tofauti na ambapo tungedhania angewatafuta mashoga awaoe na asiwe na ndoto za kuwa na mtoto.

Max
Mtoto wa Mark na mkewe ameanza kufundishwa masomo ya ufundi kama Phyisics,Hesabu na Chemisrty angali na miezi kadhaa.Lengo la Mark ni kuja kumrithisha mwanae kampuni yake na awe ndio CEO wakati Mark akiwa anazeeka.
 
Hivi huyu jamaa si aliuza hiyo FB? Au aliuza hisa tu? Na kama hisa yeye ana hisa %?
 
Hivi huyu jamaa si aliuza hiyo FB? Au aliuza hisa tu? Na kama hisa yeye ana hisa %?
Nadhani ana 28% hisa facebook aliwatolea nje Microsoft na ile kampuni nyingine waliotaka kuinunua facebook...
 
Anamfurahia mtoto from within yaani even with the way how he is staring at her,men ambao you dont bother malezi ya watoto from infant stage. Mnacho cha kujifunza hapo
 
Aisee huyo mtoto ana umri gani ?? Hiyo physics anamfundishaje ?? Ningependa na mimi kujua huenda nikatoa kijiniasi cha kiafrika
 
Umekurupuka Mkuu, huyu mtoto ni wakike, umakini kabla ya kutoa yako maoni unahitajika.
Haya asante nitamakinika nextime kwa kuchungulia via vya uzazi kwanza
Lakini hebu naomba ithibati ya huyo mtoto kuwa wa kike Kwa muktadha wa post hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…